Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hao ni rafiki zake wa muda mrefu 😄
Ujinga ni kipaji.Wamekutana au hawajakutana?Hivi unajua hata huwa unaandika nini?Mrembo?Masahihisho- Waliokutana na Tundu Lissu ni viongozi wa ACT WAZALENDO, siyo kwamba Lissu ndio kakutana nao
Wewe rafiki yako wa muda mrefu ni WasiraHao ni rafiki zake wa muda mrefu 😄
Nimegonga naye sana BIA pale Leecars club Msasani Namanga 😄😄😄😄Wewe rafiki yako wa muda mrefu ni Wasira
Hai wanatosha kabisaWewe ulitaka awe na marafiki wapya?
Wahenga walisema Umoja ni nguvu.
CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Hujui kitu kapuku weee!Ujinga ni kipaji.Wamekutana au hawajakutana?Hivi unajua hata huwa unaandika nini?Mrembo?
Mrembo hata kiswahili kinakupa tabu.Hujui kitu kapuku weee!
Jidanganye.Wewe ulitaka awe na marafiki wapya?
Wahenga walisema Umoja ni nguvu.
CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Yaani unaiweka ACT Wazalendo na msimamo katika sentensi moja ?Wewe ulitaka awe na marafiki wapya?
Wahenga walisema Umoja ni nguvu.
CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Viongozi wa vyama vya siasa wakae chini,wajiunge kuwe na chama kimoja chenye nguvu ndio nguvu pekee waliyonayo kuiangusha ccm.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.