Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.

1740142032683.png
 
Wewe ulitaka awe na marafiki wapya?

Wahenga walisema Umoja ni nguvu.

CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Hai wanatosha kabisa

Cha maana tu msiwafichie dawa zao

Watatuana
 
Wewe ulitaka awe na marafiki wapya?

Wahenga walisema Umoja ni nguvu.

CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Jidanganye.

Wamakonde CCM wanakiita CHAMA CHITENDEKE.
 
wapambe wa lisu hawawezi furahia hili, wengi wao wana chuki binafsi na ACT
 
Wewe ulitaka awe na marafiki wapya?

Wahenga walisema Umoja ni nguvu.

CHADEMA ikishirikiana na ACT wazalendo, wakawa wote na msimamo mmoja kama kambi ya upinzani, ni nguvu tosha sana.
Yaani unaiweka ACT Wazalendo na msimamo katika sentensi moja ?

Watanzania tuna kiwango kikubwa sana cha usahaulifu.

ACT Wazalendo siyo taasisi ya kukaa nayo hata meza moja kwa sababu wana ndimi mbili na hawana popular course wanayoipigania.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.

Viongozi wa vyama vya siasa wakae chini,wajiunge kuwe na chama kimoja chenye nguvu ndio nguvu pekee waliyonayo kuiangusha ccm.
 
Back
Top Bottom