Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.