Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.

Tayari keshaliwa kichwa aende alikopeleka mboga.

HM3_iJsXIAAT5fo.jpeg
 
Hawa jamaa wanalipwa na nani?

Mbona mnyika amefafanua vizuri tu...

Kwamba hawakuelewa?

Kwanini aliyekula pesa awe Heche peke yake wakati pesa haitoki bila katibu mkuu kusinya!

Why Heche?

Kuna namna huyu mkurya amewa disappoint wahuni...
Hizo tuhuma za mchongo ni mipango ya Wahuni, na kila chawa anayeanzisha uzi humu kupigia chapuo huo uzushi, uongo.. analipwa fungu la pesa.

Hata hao watoa tuhuma wote ni mawakala wa Mafisadi/Wauaji wa ccm, wapo kazini na wanalipwa.
.............................................................................

(1) Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone | JamiiForums Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
 
Huyu heche huyu...
1. Mnapinga ufisadi wakati makam mwenyekiti wenu fisadi!

2. Mnataka uhuru wa kujieleza wakati huo mnapinga watoa maoni!

@Troll, hawa chadomoghasia ni nyumbu, hata hawajui wanataka nn na hawataki nini!
Lucas mwashamba na tlatlaa njooni muwasaidie nyumbu
 
Hayo lazima ni makopo ya yule jamaa bado majeraha hayajapona!!

Mambo ya Mwamba ni ya kishamba mno!!
 
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.

Political prostitute!!!
 
Heche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
Huyu heche huyu...
1. Mnapinga ufisadi wakati makam mwenyekiti wenu fisadi!

2. Mnataka uhuru wa kujieleza wakati huo mnapinga watoa maoni!

@Troll, hawa chadomoghasia ni nyumbu, hata hawajui wanataka nn na hawataki nini!
Lucas mwashamba na tlatlaa njooni muwasaidie nyumbu
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.

Huu usen@@ge wenu wa mapress hamjastuka tu huwa hauwezi kuiharibu cdm? Wakati wa Magufuli kila siku ilikuwa ni press wanacdm wakihamia ccm kwenda kuunga juhudi, na bado dhalimu Magufuli ikabidi apore uchaguzi wa 2020?

Ikaja kipindi cha muuaji Samia wanacdm wakahamia Chauma, kila siku ikawa ni press kuwa cdm inapasuka. Lakini cdm Bado ipo, na ikiwa imezuiwa kufanya siasa, na kugoma kushiriki uhuni uitwao uchaguzi, bado chama la majizi ikabidi lipike idadi ya kura, na hadi kufanya mauaji. Sasa ndio itakuwa hizo press za hao washamba wa huko vijijini?
 
Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.

Endeleeni kutengeneza mamluki na sinema za kiseng€ >Chadema haifi Leo walla kesho ,kila hujuma inagonga mwamba takataka Kabisa , waambieni hao matahira wanaowatumia Kama condom kuandika Use ng€ humu kwamba Chadema is here to stay
 
Pigeni block / ignore list hii mbwa iliyoanzisha mada ya hoi ya kipuuzi .******* Kama hawa pigeni block tu kwenye ignore list , hawa ni Kama condom zilizotumika
 
Back
Top Bottom