Ndio keshaliwa, mshauri zile mil. 2 azitumie vizuri asiongeze mke wa pili anaweza kuanzisha hata genge la nyanya.Hii Haikubaliki mtu akitoa maoni yake na kukemea Ufisadi wa John Heche anafukuzwa Chama au kusimamishwa uanachama?
Samia aliyefanya ugaidi wa kuua watu je. Waendelee kutumia fedha zetu kuhonga wanywa gongo ili watoe vitamko.Heche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
CHADEMA HAINA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI!
Awekwe pembeni na nani, unadhani Heche ni kiongozi wa ukoo wenu kuwa wewe ukisema wote wanasikiliza.Heche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
Hizo tuhuma za mchongo ni mipango ya Wahuni, na kila chawa anayeanzisha uzi humu kupigia chapuo huo uzushi, uongo.. analipwa fungu la pesa.Hawa jamaa wanalipwa na nani?
Mbona mnyika amefafanua vizuri tu...
Kwamba hawakuelewa?
Kwanini aliyekula pesa awe Heche peke yake wakati pesa haitoki bila katibu mkuu kusinya!
Why Heche?
Kuna namna huyu mkurya amewa disappoint wahuni...
Heche pale amewekwa na Mungu nyie binadamu evil hamuwezi kumtoaHeche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
Political prostitute!!!Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.
Heche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
Huyu heche huyu...
1. Mnapinga ufisadi wakati makam mwenyekiti wenu fisadi!
2. Mnataka uhuru wa kujieleza wakati huo mnapinga watoa maoni!
@Troll, hawa chadomoghasia ni nyumbu, hata hawajui wanataka nn na hawataki nini!
Lucas mwashamba na tlatlaa njooni muwasaidie nyumbu
Huu usen@@ge wenu wa mapress hamjastuka tu huwa hauwezi kuiharibu cdm? Wakati wa Magufuli kila siku ilikuwa ni press wanacdm wakihamia ccm kwenda kuunga juhudi, na bado dhalimu Magufuli ikabidi apore uchaguzi wa 2020?Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.
Endeleeni kutengeneza mamluki na sinema za kiseng€ >Chadema haifi Leo walla kesho ,kila hujuma inagonga mwamba takataka Kabisa , waambieni hao matahira wanaowatumia Kama condom kuandika Use ng€ humu kwamba Chadema is here to staySakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.