Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Anaumwa nini? Na kwa nini unafanywa Siri? Naomba majibuDubai anaumwa
Ni kweli au ndio mauongo ya wabongo?Yupo Dubai ana umeme wa megawatt 20,000.
Anaumwa nini? Na kwa nini unafanywa Siri? Naomba majibu
Ha ha ha haMwenyekiti madeni yamekuwa Mengi mpaka amekwenda kujificha Zenji.
CHEMSHA BONGO - PROF "J"
Dola ya kizalendoAnafahamu wabongo wengi hawako tayari na hawewezi kufurukuta dhidi ya dola babe
Mbowe ni kiongozi wa ummaAfya ya mtu ni siri
Mwenyekiti mbowe...kawasusa kabisaa..kaona hamna manaMwenyekiti yupi?Yule wa chama fulani aliekufa kwa Corona?
Tumem-miss sanaAkiongea mnasema akae kimya, akikaa kimya mnataka aongee...CCM kwenu jema ni lipi?
Yule mmeo Faru John?Mwenyekiti yupi?Yule wa chama fulani aliekufa kwa Corona?