Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpina ni mzushi na ni kipenz cha uongo ni muhimu sana kila neno analotamka likaangaliwa kwa uzito mkubwa maana hakawii kupotosha umma.
halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?
Ulitaka machifu wote wajazane Dodoma.Mpina ni mzushi ....
halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?🐒
Naam, si msukuma but hii ndivyo inatakiwa. Chifu kachana mle mle, uchawa umezidi sanaChief ameongea kiandamizi sana,ametuheshisha sana sisi Wasukuma.
Uko sahihi kabisa mkuu, kawasemea Watanganyika wote wenye akili timamu wanaokerwa na uhuni unaoendelea kufanyika wa kulifanya bunge kuwa mhuri wa serikali.Naam, si msukuma but hii ndivyo inatakiwa. Chifu kachana mle mle, uchawa umezidi sana
Mbona hapo mjengoni Watangayika wote zaidi ya M60 hawapo? Hujui maana ya uwakilishi?Mpina ni mzushi na ni kipenz cha uongo ni muhimu sana kila neno analotamka likaangaliwa kwa uzito mkubwa maana hakawii kupotosha umma.
halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?🐒
Bado anakula bata hadi kuku wanaona wivu.Chifu Hangaya bado yuko mafichoni??!!!
Mkuu unaendeleaje? Umetoka hospital?Hii vita ya ndani ya chama inaonekana inazidi kukomaa kwa kasi sana
Na inaelekea mwelekeo mzuri, tutaheshimiana tu.Hii vita ya ndani ya chama inaonekana inazidi kukomaa kwa kasi sana
Hao walete wewe mkuu…halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?🐒
Chief godilavuHawa ndio Machifu sasa. Sio Chifu Kiumbe mara Q Chifu.
Madelu anamjua vizuri kuwa jamaa ni mtu hatari kwa hayo mambo ya hovyo, usukumani hayo ni mazoezi ya kawaida sana, ndio maana ni very rare kukuta msukuma hana Chale, Chale ni alama ya kuzimu,walozi hao mixer ndumba ukileta uwaki wanakuondosha