Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

Mpina ni mzushi na ni kipenz cha uongo ni muhimu sana kila neno analotamka likaangaliwa kwa uzito mkubwa maana hakawii kupotosha umma.

halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?
 
Mpina ni mzushi na ni kipenz cha uongo ni muhimu sana kila neno analotamka likaangaliwa kwa uzito mkubwa maana hakawii kupotosha umma.

halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?🐒
Mbona hapo mjengoni Watangayika wote zaidi ya M60 hawapo? Hujui maana ya uwakilishi?
 
walozi hao mixer ndumba ukileta uwaki wanakuondosha
Madelu anamjua vizuri kuwa jamaa ni mtu hatari kwa hayo mambo ya hovyo, usukumani hayo ni mazoezi ya kawaida sana, ndio maana ni very rare kukuta msukuma hana Chale, Chale ni alama ya kuzimu,
 
Back
Top Bottom