kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Uccm ndiyo jadi yao, mtu akifariki wanawahi kufika kwenye msiba na kulifunika jeneza kwa bendera ya chama chao!Poleni kwa msiba mkuu
Ila jaribu kuondoa uccm kwenye uzi wako ili kuepusha bias wakati wa usomaji.
Wewe tengeneza wako, Halafu uondoe hilo neno, acha watu wafe na mahaba yao, sisi hiyo inatusaidia kuchangia kwa kutoa Elimu unataka afiche maradhi?Poleni kwa msiba mkuu
Ila jaribu kuondoa uccm kwenye uzi wako ili kuepusha bias wakati wa usomaji.
Kisa KIZURI Sana hiki naomba unipestie chote Kama unacho maana jamaa alibaki alone and no one spoke for his rescue coz he kept quite when it wasn't himThey came for the Jews, I did not speak because I wasn't a Jew.. .....
First they came for the socialists, and I did not speak out—Kisa KIZURI Sana hiki naomba unipestie chote Kama unacho maana jamaa alibaki alone and no one spoke for his rescue coz he kept quite when it wasn't him
CCM nao watu ndugu[emoji23]! Hivi CCM wenyewe wanajua kwamba wanachukiwa hivi? Au wanaishi under hallucinations?Kumbe ccm! Najuta kupoteza muda na bando langu!! Mxxxxx
👊Kumbe kweli hadi jambo likufike ndio ujue uchungu wake. Wakati akina Mawazo wanauawa hatukusikia hizi laana. Nchi iliharibika kitambo mkawa mnakejeli watu wanajiteka. Kuna kijana wa UVCCM Mkoa wa Iringa aliomba ruhusa kwa mwenyekiti wa CCM taifa waruhusiwe wavunje watu miguu au wawauwe kabisa. R.I.P. kijana.