Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Watu wasiojulikana wameajiriwa na Mwenyekiti wao Saasa unamlaumu Nani? Wewe Kama unataka hao watu waishe ungana na lisu basi hiyo ndio suruhisho la watu wasiojulikana na Kwa taarifa yako usinyione kuwa uko Salama kisa uko Ccm no hao wanauwa pande zote Mkuu, ukikosoa tu wako na wewe, na usiposifia ukanuna wamekudaka, Mimi naawaambia Magufuli kaharibu saana hiii nchi ila hamsikii na bado Sana
Mpaka yafike mlangoni kwako ndo akili ikufikie
 
Don't panic Boss

Huyu aliuwawa ni mtanzania kama mawazo, Ben sanane, kaguye, Azory, mwangosi etc

Mungu awalaze mahala pema peponi 🙏
sheria zipo na zinatumika
Hao unawataja wamepata walichokua wanatafuta na inahusiana vipi na president hapo?
Ana uwezo wa kuamuru tu wafungwe maisha.
Siasa ziwe na mipaka,unalaumu huku ukute hao unawataja wote wamefanyiziwa na mwenyekiti wao na mabaunsa wake.
 
Watu wasiojulikana wameajiriwa na Mwenyekiti wao Saasa unamlaumu Nani? Wewe Kama unataka hao watu waishe ungana na lisu basi hiyo ndio suruhisho la watu wasiojulikana na Kwa taarifa yako usinyione kuwa uko Salama kisa uko Ccm no hao wanauwa pande zote Mkuu, ukikosoa tu wako na wewe, na usiposifia ukanuna wamekudaka, Mimi naawaambia Magufuli kaharibu saana hiii nchi ila hamsikii na bado Sana
Acha kupayuka hovyo
wote tunaukubali upinzani chini ya Lissu lkn kupayuka hovyo hovyo kama ww big No
 
Kumbe kweli hadi jambo likufike ndio ujue uchungu wake. Wakati akina Mawazo wanauawa hatukusikia hizi laana. Nchi iliharibika kitambo mkawa mnakejeli watu wanajiteka. Kuna kijana wa UVCCM Mkoa wa Iringa aliomba ruhusa kwa mwenyekiti wa CCM taifa waruhusiwe wavunje watu miguu au wawauwe kabisa. R.I.P. kijana.
Yamewarudia hukohuko Iringa.
 
Acheni ujinga nyinyi,sheria zipo na zinatumika
Hao unawataja wamepata walichokua wanatafuta na inahusiana vipi na president hapo?
Ana uwezo wa kuamuru tu wafungwe maisha.
Siasa ziwe na mipaka,unalaumu huku ukute hao unawataja wote wamefanyiziwa na mwenyekiti wao na mabaunsa wake.

😀😀😀😀😀😀
 
Hivi wewe dada unajielewa kichwani,kwa huu muandiko wako inaelekea una msongo wa ugumba wa maisha wewe.

Mwenyekiti wako wewe unajua wangapi kawafukuza kwenye chama chake kwa kumpinga tu.

Unaijua historia za zitto kabwe kutoka chadema na kwenda kuanzisha ACT.

Huu ni uzi wa msiba hizo kelele zako kama mwanamke aliokopwa penzi peleka ufipa
Mnauana ili kusaka huruma ya kisiasa !!!! Poor you
 
Ndugu wana CCM,

Ndugu yetu, kijana wetu Emmanuel Polykap Mlelwa hatunae tena. Nimepigiwa simu na baba yake mzazi, Diwani mstaafu wa kata ya Madope-Ludewa kuwa ameuwa na watu wasiojulikana eneo la Kibena.

Mwili wake ulihifadhiwa hospitali ya Kibena leo ni siku ya sita ndiyo umetambuliwa.

Hakika nikiwa kama sehemu ya familia, hakika nipigo kwa familia, pia ni pigo kwa CCM[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

Haya ni matukio mabaya sana yanayoendelea kutokea katika nchi yetu na yanatakiwa kukemewa na kila mwenye akili.
Tutumie lugha wanayotumia CCM dhidi ya wapinzani " atakuwa kajiua mwenyewe tu kutafuta huruma ya wananchi "

No offence
 
Tutumie lugha wanayotumia CCM dhidi ya wapinzani " atakuwa kajiua mwenyewe tu kutafuta huruma ya wananchi "

No offence
Yule ni mhehe na wahehe wanatabia ya kujinyonga hata akiibiwa simu.
SWELA!
 
Back
Top Bottom