Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Uongo wenu utakuja julikana tu siku. Mungu anawaona. Msijifanye wajanja wa maneno na kuyumbisha Story.

Ubaya wa CHADEMA unajulikana na matatizo yaliyopo sasa kwenye chama chenu hayo nayo hutaki kuysikia wala kuyaelewa ama kuzungunzia.

Subiri kimbunga kinakuja. Mwogope mtu anaye kaa kimya atakuwa ana mengi anayo yaficha.

Ninauhakika iko siku CHADEMA mtakuja umbuka ile kishenzi.
Labda Kama hujui magufuli ni muuwaji Mkubwa anaajiri magaidi, anaendesha nchi kigaid ipo Siku atatoka Atakiona
 
Mbona kuna tetesi huyo alivamia mkutano usiomhusu wakampa dawa?
Mwenye maelezo ya uhakika atujuze tafadhali
 
To be honest napenda serikali ya chama tofauti ikishika madaraka iwashughulikie wahuni wote , tukianzia na Jiwe
Unajua sasahivi lisu anamiliki mikoa 14 hadi sasa na magufuli 12 ila lisu akiongeza speed kuna mikoa mitatu anaweza pia kumnyanganya magufuli na Zanzibar inaingia Kwa lisu pia
 
To be honest napenda serikali ya chama tofauti ikishika madaraka iwashughulikie wahuni wote , tukianzia na Jiwe
Nyinyi ndio mnafanya wanapata hofu mpaka wako tayari kufanya lolote mradi wasiachie madaraka

Kwa kuwa hamna akili hamuelewi
 
Mimi hata vitendo vya watu kurusha mawe kwenye kampeni navipinga kwa nguvu zote Sasa unarusha mawe bila kujali hata yaue mtu kweli?
 
wabongo muda wote mnazungumzia siasa, na kujibishana, kutusiana na kuongea visivyonamaana, Fanyeni kazi mlee familia zenu, siasa zitawamaliza. Au mliambiwa bila siasa hamtaishi!
 
Tumeishakuambia kuwa hayo mwambie Mwenyekiti wako ndio anaewajua watu wasiojulikana ebbooo, na anawafundisha kuwa wakizingirwa na wananchi Kama ilivyotokea huku tarime tulivyowazingira kumuokoa Peter zakaria wanajisalimisha na kujigeuza kusema kuwa wao ni usalama wa taifa.

Mwenyekiti wenu hajui kuwa huyu ni Ccm wala upinxani yeye ukimpinga Kama kinana na makamba ni kufukuza Halafu anasema kuwa kafukuzwa na Kamati Kuu Wakati kafukuza yeye mwenyewe, ungana na lisu mtaisha nawaambieni haya twende, ulimuona nape jasho lilivyomtoka? Alipoitwa ikulu?

Mwenyekiti wako wewe unajua wangapi kawafukuza kwenye chama chake kwa kumpinga tu.
Unaijua historia za zitto kabwe kutoka chadema na kwenda kuanzisha ACT.
Huu ni uzi wa msiba hizo kelele zako peleka ufipa
 
Back
Top Bottom