Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

Mpaka yafike mlangoni kwako ndo akili ikufikie
 
Don't panic Boss

Huyu aliuwawa ni mtanzania kama mawazo, Ben sanane, kaguye, Azory, mwangosi etc

Mungu awalaze mahala pema peponi πŸ™
sheria zipo na zinatumika
Hao unawataja wamepata walichokua wanatafuta na inahusiana vipi na president hapo?
Ana uwezo wa kuamuru tu wafungwe maisha.
Siasa ziwe na mipaka,unalaumu huku ukute hao unawataja wote wamefanyiziwa na mwenyekiti wao na mabaunsa wake.
 
Acha kupayuka hovyo
wote tunaukubali upinzani chini ya Lissu lkn kupayuka hovyo hovyo kama ww big No
 
Yamewarudia hukohuko Iringa.
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mnauana ili kusaka huruma ya kisiasa !!!! Poor you
 
Tutumie lugha wanayotumia CCM dhidi ya wapinzani " atakuwa kajiua mwenyewe tu kutafuta huruma ya wananchi "

No offence
 
Tutumie lugha wanayotumia CCM dhidi ya wapinzani " atakuwa kajiua mwenyewe tu kutafuta huruma ya wananchi "

No offence
Yule ni mhehe na wahehe wanatabia ya kujinyonga hata akiibiwa simu.
SWELA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…