johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyakabungo huko Isamilo Mwanza na wenzake wanne wamekamatwa na Polisi kwa kuwashambulia na kuwaua vijana watatu wakazi wa Nyakabungo A.
Wakazi wa mtaa huyo wamemlaani mwenyekiti huyo aitwaye Abdukar kwa kuongoza mauaji ya raia wasio na hatia.
Chanzo: ITV habari!
Wakazi wa mtaa huyo wamemlaani mwenyekiti huyo aitwaye Abdukar kwa kuongoza mauaji ya raia wasio na hatia.
Chanzo: ITV habari!