Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,714
Mkuu ni vema tukaiachia mahakama maana huko haki hutolewa na itapatikana kwa wote.Mtakapohusishwa na Mungu wakati anadai damu ya mawazo mikononi mwenu utaelewa zaidi.kwa sasa weka siasa tu za kutetea hata dhambi.Mfano mdogo tu kwako VIONGOZI wa chadema wapo mahakamani kwa kifo cha Aquilina rip japo aliyeuwa yupo anadunda.Mungu atamlenga aliyeuwa si kina mbowe kama mfanyavyo nyinyi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.