Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

Popoma naona limelike comment yako. Hahaha Popoma Ni Popoma kweli, hata thread zake Ni za kipopoma zimejaa upumbavu mtupu
Hujawahi kumiliki Akili hata Siku Moja.
 
Wewe jobless kula kulala unadhani Mimi ni kula kulala kama wewe? Kwamba nashinda JF?

Haya nimerudi Sasa ndio Niko free niambie hapo Bunda Mimi naishi wapi?
 
Hivi wewe APR huioni? Si ukomae na timu za kwenu?
 
GENTAMYCINE naelewa jitihada zako na mapenzi yako juu ya simba.

Umekua loyal fan kwa klabu hii miaka nenda rudi na wakati mwengine hua unatoa hela zako na kuchezea uhai wako kuhakikisha kua Simba sports club inapata matokeo nje na ndani ya uwanja.

Sasa ndugu GENTAMYCINE nafikiri ungerudisha kumbukumbu zako nyuma kwa Mh.Murtaza Mangungu kwa kipindi kile Simba ipo chini ya Friends of Simba kabla ya MO kuichukua team rasmi.

Murtaza Mangungu alishirikiana na poti wako kutoka Mara bwana Magori ili kuhakikisha kua wanauvuna alama nyingi huko mikoani,japokua kipindi kile walishindwa kwasababu mlikua na mtu msaliti ambaye alikua anakula hela za Manji.

Si hivyo tu,Mangungu amefanya mengi sana simba sports club na kuhakikisha anaipigania club.

Hizi unazofanya huenda ni siasa kulekea kwenye uchaguzi ila Mangungu akiliona hili andiko lako ataumia sana na moyo wake utavunjika maana hata na yeye mwenyewe hapendi kufungwa na Yanga.

Pia suala la kufungwa na Yanga nafikiri ni vile tu yanga wameshaweka standards,Maana wamesajili vizuri,kambi nzuri na mishahara kwa wakati.
 
Huna lolote unlolijua kuhusu mwenyekiti zaidi ya kutumiwa kumhujumu
 
nakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.

lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
 
Wewe unahisi atakuwa ni nani?
 
nakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.

lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
Hujaanza / Hamjaanza leo Kunichukia na hata Kufurahia BAN zangu hapa JamiiForums Mnafiki mkubwa Wewe na Wanafiki wakubwa nyie.

Endeleeni kuombea hizo BAN zangu.

Cc: Plan Master
 
Wewe jamaa unapenda sana kujifanya mjuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…