KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Hizo ni kauli za kisiasa tu na haziwezi kutekelezeka kamwe lakini si kauli za kutamkwa na za kukemewa kwa kuwa maadui wanaweza kufanya uovu na ikachukuliwa ni wao wamefanya.
Waliotoa kauli hizo hawana uwezo wala ujasiri wa kuyatenda waliyosema kwa sababu viongozi wa chama ambao ni viongozi wa Serikali hawawezi kukubali chama kutiwa doa au Serikali kuchafuka.
Katibu mkuu wa CCM Ndg. Bashiru amekuwa akinukuliwa akisema "tumeweka utaratibu wa kuwarudisha shuleni baadhi ya makada wake hasa vijana ili wakajifunze uongozi". Naamini kwa mtazamo huu wa Dkt. Bashiru fursa ipo ya kujifunza na kubadilika.