KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Baada ya viroba kupigwa marufuku, kinachotumiwa Sasa hivi ni hatari sanaMkuu hiyo ni ngome ya vijana wa wapi??
Na hii nayo unaizungumziaje??View attachment 1346785
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyu ni nani? Tupe jinaMkuu hiyo ni ngome ya vijana wa wapi??
Na hii nayo unaizungumziaje??
View attachment 1346785
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni kauli za kisiasa tu na haziwezi kutekelezeka kamwe lakini si kauli za kutamkwa na za kukemewa kwa kuwa maadui wanaweza kufanya uovu na ikachukuliwa ni wao wamefanya.
Waliotoa kauli hizo hawana uwezo wala ujasiri wa kuyatenda waliyosema kwa sababu viongozi wa chama ambao ni viongozi wa Serikali hawawezi kukubali chama kutiwa doa au Serikali kuchafuka.
Katibu mkuu wa CCM Ndg. Bashiru amekuwa akinukuliwa akisema "tumeweka utaratibu wa kuwarudisha shuleni baadhi ya makada wake hasa vijana ili wakajifunze uongozi". Naamini kwa mtazamo huu wa Dkt. Bashiru fursa ipo ya kujifunza na kubadilika.
Ccm wamekufuruCCM ombeni radhi vinginevyo lolote lukimkuta zito hata tu na wafitini mjue itakula kwenu mtachomewa nyumba watoto na viongozi wa ccm ngazi za mitaa watatekwa na kuchinjwa huku wakirekodiwa mauwaji jamaa ya isis msikubali kauli za wabunge wenu wapumbavu jitengeni nazo mkisafishe chama chenu CCM mnamaadui wengi hamjui Nani atatembekea kauli zenu na kuwafitini
Mungu aapishie mbaliUnajua kauli inazaa chuki,kwa mfano zito ikitokea akafa gafla tu bila kudhuriwa na mtu yeyote,,haki ya mungu watakao mfata huko kuzimu watakua ni wengi mno,
Bulembo umri wake na akili alizonazo ni tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni kauli za kisiasa tu na haziwezi kutekelezeka kamwe lakini si kauli za kutamkwa na za kukemewa kwa kuwa maadui wanaweza kufanya uovu na ikachukuliwa ni wao wamefanya.
Waliotoa kauli hizo hawana uwezo wala ujasiri wa kuyatenda waliyosema kwa sababu viongozi wa chama ambao ni viongozi wa Serikali hawawezi kukubali chama kutiwa doa au Serikali kuchafuka.
Katibu mkuu wa CCM Ndg. Bashiru amekuwa akinukuliwa akisema "tumeweka utaratibu wa kuwarudisha shuleni baadhi ya makada wake hasa vijana ili wakajifunze uongozi". Naamini kwa mtazamo huu wa Dkt. Bashiru fursa ipo ya kujifunza na kubadilika.
Eti kauli za kisiasa ndiyo hicho kinaligharimu Taifa viongozi wa kitaifa hawatunzi kauli zao wakiwa nyuma ya mikamera hujitoa ufahamuUwezo wako ni mdogo mno sijui una umri gani..?
Unaelewa CIA ya Tanzania inapatikana vipi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeziona zile video za bunge na uvccm kwenye account ya Twitter ya Pompeo na EU! Mamlaka husika hasa vyombo vya dola viamke usingizini vitimize wajibu wao! Na jaji wa vyama vya siasa aache kuwa na upande afanye kazi kwa haki!Kila CCM wanapojaribu kusawazisha mambo ndiyo wanazidi kuyakoroga na mbaya zaidi taarifa zinafika hadi kwa mabeberu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa yuko likizo ndefu kwakifupi hajui wajibu wake .anayejua maana ya neno hili tafadhari 'a figure head'Nimeziona zile video za bunge na uvccm kwenye account ya Twitter ya Pompeo na EU! Mamlaka husika hasa vyombo vya dola viamke usingizini vitimize wajibu wao! Na jaji wa vyama vya siasa aache kuwa na upande afanye kazi kwa haki!