Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa ahamasisha Mbowe, Zitto na wengine wanaoikwamisha Serikali 'washughulikiwe'

Hivi huyo heri James huwa anahusisha ubongo wake kweli kwenye kufikiri maana anazungumza kama interahamwe
Huyu mtoto wa dada aliyechaguliwa kwa maagizo badala ya nguvu ya ushindani unategemea azipate wapi.
Hii Jamii kiujumla ni wazuri kwenye matumizi ya nguvu kuliko akili ni makosa kuwapa leseni.
 
jamani imetosha ndugu zangu tujilinde kwa namna yoyote ile ikishindakana tusakane mtaani mambo gani haya? nimempa mtu kazi ya kuandika subtitles hizi video mbili
nawaombeni kama mnazo nyingine za uchochezi kutoka ccm mnipe link nafanya archives nampa mtu aziweke katika english na germany kuna sehemu zinatakiwa zitumwe ASAP kwenye tv stations za nje,blogs na newspapers na human rights organisations na donors pia.
na ile ya kuhusu wakurugenzi nawapa hela na magari mnatangaza wapinzani pia itakuwepo nikumbushe na nyinginezo jameni mnipe links
 
Huyu ndiye amemdhuru Mbowe. Upinzania peleka hoja kwa Bensouda ICC pamoja na kuwa haitaqualify, but it will sound an alarm!
 
Mnahangaika bure yule ni mlevi tu Kama walevi wengine
 
Afu kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, lol shida sana khaaaaah
 
Bashiru ni Muongo , Msimamo wa huyu muuaji ndio msimamo wa ccm , ushahidi wa hili ni UDC aliopewa baada ya kauli hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…