Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida: Uchunguzi ufanyike kufuatia vitendo vya utekaji na mauaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea.

Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa salamu za rambirambi kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni wilaya ya Chunya - Mbeya ambaye aliuawa usiku wa kuamkia tarehe 03 desemba 2024.
View attachment 3171964
Bado asubiri, kifo ni kifo Tu Kwanza HAKUNA utekaji, ni drama Tu. Nyokoooo
 
Mungu ni mjuzi atatuongoza namna nzuri ya kukabliana nao, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri,

Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo kukabiliana na changamoto ama tatizo kumbe anapofanya hivyo huja na uvumbuzi
Sisi siyo binadamu ni nyani wa mjini acha kujidanganya, una ardhi safi, mifugo, madini ya kila aina, gesi, mito, bahari, makaa ya mawe, Milima, tanzanite, mbuga za wanyama, maziwa, mabawa makubwa + watu 63M lakini unazidiwa maendeleo na nchi ndogo ndogo kila siku unaenda kuomba misaada wewe siyo kama umelaaniwa basi ni nyani wa mjini.
 
We acha tu, kwasasa akili kwenye mafuvu zilisha ondoshwa na CCm, kitambo tuna tumia vitu ambavyo hatuvizalishi hapa nilipo nimevaa kuanzia chini vyote toka china hata hii simu toka china, hata kufikiri kichina kwa maana hata hizi software za kutengenezea simu zao na tools wanazitengeneza wao na kutuuzia

We consume what we do not produce
 
Halafu bado unajiita ni binadamu? wewe ni nyani wa mjini
 
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea.

Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa salamu za rambirambi kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni wilaya ya Chunya - Mbeya ambaye aliuawa usiku wa kuamkia tarehe 03 desemba 2024.
View attachment 3171964
Watekaji wamo huko huko alipo.Yule kijana wa Kagera anayo maelezo ya kina,aliwaambia Polisi wasiwatafute watekaji.Ameulizwa?
 
Sio vijidrama tena. Kifo ni kifo tu alisikika bilionea mmoja akisema
 
Atafukuzwa soon kwenye hiko cheo.

Anaujua ukweli na sasa anakaribia kuumwaga mtama kwenye kuku na majogoo wengi
Siku zote hakuna hata mmoja akiyewahi kuona hilo ni shida imekuwaje kwake?
 
ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa salamu za rambirambi kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni wilaya ya Chunya - Mbeya
Leo ndo ameona kuna utekaji na mauaji? Ya mzee kibao hakuwahi kuyasikia, Ya kina Soka hakuwahi kuyasikia?
Joka lililofugwa limeanza kula watoto wa mfuga joka.... bado hamjasema!!!
 
Wameanza kuuana sasa
Hofu imemjaa
Wengine sii binadamu ila wao binadamu naona kampeni nyingi ya kutaka urafiki wa kinaa zinaratibiwa na wanao ogopa bakora za Mzee mtetezi wa taifa.
 
Elon Musk kasema mtoto wake ndiye kijana pekee mwenye Akili tambuzi duniani, ana miaka 5 😂
Ulitarajia vijana wa ccm wawe na akili timamu ? Na uwezo Bora wa kufikiri? Akina kigoda, mwapachu, Sykes, hao ndio walikua na akili hawa x ana miaka mitano Tu lakini Yuko kwenye bodi ya washauri wa Elon ambae ni Baba yake na anategemewa Sana kwenye mambo ya kiubunifu ashauri nini
 
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea.

Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa salamu za rambirambi kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM tawi la Machinjioni wilaya ya Chunya - Mbeya ambaye aliuawa usiku wa kuamkia tarehe 03 desemba 2024.
View attachment 3171964
Je, kuhusu kuifungia X yaani Twitter iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom