Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita

CCM wana Mambo ya kipumbavu Sana Sana wanajenga tension ambayo wala haina umuhimu wowote ule
 
Kidumu naona wakati wangu wa kuwa active umefika😀
 
Nilifahamu Tu kuwa hili lazima litokee... Huyu dogo alikuwa anawindwa baada ya Ile kauli ya simbachawene.
 
Silence surrenders public responsibilities

Kunyama ni kuyasalimu amri majukumu ya kijamii
 
Vijana waoga waoga kama ww mnastahili kuwa chakula cha mamba
 
Hata Alishabab iliinza hivi hivi serikali toeni ajira acheni kununua V8 ilihali vijana wanateseka mtaani.
 
O
Oyaa kama angekuwa kakaangu wameua na mimi nakuwa tayar kufa lazima niondoke na ma ofisa wachache waone uchungu wa family zao pia
Polisi wanaotumiwa na hii serikali ya kipumbavu tunaishi nao.waendelee kutesa na kuua ndugu zetu bila sababu,kuna siku tutawauwa wote na familia zao waumie kama sisi tunavyoumia kupoteza wapendwa wetu.Wananchi tuko wengi kuliko hao majambazi polisi
 
Waalimu wangekuwa tayari kwa ajili ya usaili haya yote yasingetokea, huwezi kufaulu usaili wakati muda wote upo mitandaoni ukipinga usaili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…