Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Tutapata Tena rekodi ya mabao mengi Safari hii tunavunja rekodi ya 1976 ya 6-0. Bahati nzuri wenzetu huwa WAKIWA Na gogoro Kama HIKI huwaambia WACHEZAJI wao waachie ili kukomoana. Teh Teh Teh.
 
Shafii dauda ni namba moja ya waliomkashfu manji na hii text nayo ni ya kuonyesha upuuzi wake..
Alipaswa pia kusema na yeye ni miingoni mwa wanao mdhihaki manji.
 
Aisee... Kama mama mzazi wako angesubiri akuzae katika miezi tisa ungemuua. Hivyo haishangazi kwa nini ulizaliwa njiti. Yaani kama una fikra hizo na mawazo yako ni matusi tu no wonder kuna wamama wanapata kansa ya uzazi

Wewe unawashwa nadhani Huna wa kukusugua leo endelea
 
Shafii Dauda Kuwa Yanga Au Simba Ni kosa?? Fikirini Kwa Kichwa badala ya matako. Nyinyi ndio mlikuwa mnalala chumba kimoja Na Manji timu ilipokuwa ikisafiri nje. Tatizo nini mbona Dangote atawarithi???
 
Aisee... Kama mama mzazi wako angesubiri akuzae katika miezi tisa ungemuua. Hivyo haishangazi kwa nini ulizaliwa njiti. Yaani kama una fikra hizo na mawazo yako ni matusi tu no wonder kuna wamama wanapata kansa ya uzazi
Kabanduliwe bwege wewe
 
Shafii dauda ni namba moja ya waliomkashfu manji na hii text nayo ni ya kuonyesha upuuzi wake..
Alipaswa pia kusema na yeye ni miingoni mwa wanao mdhihaki manji.
Ameuwa akitumika kumchafua manji ingawa Yule mwenzake Luambano alionekana hapendi manji ashambuliwe.
 
Shafii Dauda Kuwa Yanga Au Simba Ni kosa?? Fikirini Kwa Kichwa badala ya matako. Nyinyi ndio mlikuwa mnalala chumba kimoja Na Manji timu ilipokuwa ikisafiri nje. Tatizo nini mbona Dangote atawarithi???
Wewe ndiyo unalala na huyo shafii mbona unamtetea? Kuwa simba si kigezo cha kutumika kumshambulia Manji, kumbuka Manji ni mtanzania pia ameitumikia yanga kwa moyo wake wote lakini wajanja wamepiga pesa toka kwa maadui zake na kumchafua, Yanga ni vigumu kuongozwa na Mgeni hata ukimleta mfalume wa Oman aimiliki lazima atakwama kutokana na kusheheni wapika majungu.
 
Tutapata Tena rekodi ya mabao mengi Safari hii tunavunja rekodi ya 1976 ya 6-0. Bahati nzuri wenzetu huwa WAKIWA Na gogoro Kama HIKI huwaambia WACHEZAJI wao waachie ili kukomoana. Teh Teh Teh.
Yanga ilikuwa imepiga hatua kubwa sana lakini sasa inarudi nyuma ni wakati wa Simba na Azam kutawala soka la Tanzania
 
yanga wanavyo mwabudu huyu manji kama Mungu wao wataua mtu
 
Kufa kufaana => Wajanja, madalali wa michezo na wapika majungu na Fitna ni mda wao kuokota pesa za wale maadui wa manji huku wengine wakienda kwa manji kujidai kumpelekea taarifa za uchunguzi wao wanavuta pesa, Mfumo huu wa kuwa na Wanachama wajinga wajinga wenye njaa wapenda Fitna ni Mfumo wa kipumbavu sana, haukuzi soka bali soka la Tanzania litazidi kudidimia kwani endapo Manji ataondoka akaja mwingine bado hao wanachama njaa watamuyumbisha tu, ni wakati wa kuangalia Upya juu mifumo mibovu inayoiongoza soka la Tanzania, kule Ulaya wanachama hawana uwezo wa kuyumbisha Timu kwa majungu na njaa zao hata vilabu vikuwa Africa kusini na kwingineko barani afirika hakuna ujinga kama huu uliopo Yanga.
 
yanga wanavyo mwabudu huyu manji kama Mungu wao wataua mtu
Si kweli kuwa wanamwabudu bali wanakumbuka Yanga ilipotoka na yanga ilipo sasa, kumbuka Yanga ilikuwa na migogoro sugu ambayo iliwashinda wengi mpaka Mzee wa ipp mengi alishindwa kumaliza mpaka alipofika manji ambaye alifanikiwa kumaliza mgogoro na kurejesha Aman.
 
Shafii dauda ni namba moja ya waliomkashfu manji na hii text nayo ni ya kuonyesha upuuzi wake..
Alipaswa pia kusema na yeye ni miingoni mwa wanao mdhihaki manji.
Ni kweli kwa 100% shafii alionyesha chuki juu ya manji ingawa mwenzake kule clouds hana chuki ameinyesha kutomuunga mkono kwenye hilo Dili lake pengine pesa aliyopewa na maadui wa manji kala peke yake.
 
Alirejesha amani Kidikteta! Fukuza fukuza ya viongozi wenzie Baada ya Kuwa kawalipa elfu tanotano waliokuwa wanahudhuria mkutanoni Ndiyo ilikuwa Staili ya uongozi!!! Mtu kachaguliwa mwezi mmoja uliopita anafukuzwa bila kujieleza uliona wapi?? Nilijua atakwama tu. Nikiwaangalia SANA usoni wanayanga mkutanoni Siku ile walikuwa walikubaliana Na Manji usoni moyoni wanahoji maswali yaani kimyakimya sawasawa Na jinsi ulivyokuwa Utawala wa mkoloni. Poleni Yanga Na hongereni Kwa kujikomboa maana Mwenyekiti ndiye alikuwa kila KITU Hapo Yanga. Alipotaka kuibinafsisha jumla mkashtuka. Sasa ngoja tuone huyo mshauri wake Mkuu SANGA mtamwacha??
 
Mkitaka ang'oke SANGA Tuko tayari kuwasaidia Kwa kuwafunga 7-0. SAWA? Hayo Ni makubaliano Na tunaomba ASIMAMIE Mzee Ibrahim Akilimali
 
Back
Top Bottom