Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bundi ameshatua jangwani hapo.....amani imeshatoweka.....
Utakesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bundi ameshatua jangwani hapo.....amani imeshatoweka.....
Wewe unawashwa nadhani Huna wa kukusugua leo endelea
Kabanduliwe bwege weweAisee... Kama mama mzazi wako angesubiri akuzae katika miezi tisa ungemuua. Hivyo haishangazi kwa nini ulizaliwa njiti. Yaani kama una fikra hizo na mawazo yako ni matusi tu no wonder kuna wamama wanapata kansa ya uzazi
Ameuwa akitumika kumchafua manji ingawa Yule mwenzake Luambano alionekana hapendi manji ashambuliwe.Shafii dauda ni namba moja ya waliomkashfu manji na hii text nayo ni ya kuonyesha upuuzi wake..
Alipaswa pia kusema na yeye ni miingoni mwa wanao mdhihaki manji.
Wewe ndiyo unalala na huyo shafii mbona unamtetea? Kuwa simba si kigezo cha kutumika kumshambulia Manji, kumbuka Manji ni mtanzania pia ameitumikia yanga kwa moyo wake wote lakini wajanja wamepiga pesa toka kwa maadui zake na kumchafua, Yanga ni vigumu kuongozwa na Mgeni hata ukimleta mfalume wa Oman aimiliki lazima atakwama kutokana na kusheheni wapika majungu.Shafii Dauda Kuwa Yanga Au Simba Ni kosa?? Fikirini Kwa Kichwa badala ya matako. Nyinyi ndio mlikuwa mnalala chumba kimoja Na Manji timu ilipokuwa ikisafiri nje. Tatizo nini mbona Dangote atawarithi???
Yanga ilikuwa imepiga hatua kubwa sana lakini sasa inarudi nyuma ni wakati wa Simba na Azam kutawala soka la TanzaniaTutapata Tena rekodi ya mabao mengi Safari hii tunavunja rekodi ya 1976 ya 6-0. Bahati nzuri wenzetu huwa WAKIWA Na gogoro Kama HIKI huwaambia WACHEZAJI wao waachie ili kukomoana. Teh Teh Teh.
kama bakhresaa vileHivi kwani lazima Yanga kwanini asingetengeza timu yake mwenyewe?
Si kweli kuwa wanamwabudu bali wanakumbuka Yanga ilipotoka na yanga ilipo sasa, kumbuka Yanga ilikuwa na migogoro sugu ambayo iliwashinda wengi mpaka Mzee wa ipp mengi alishindwa kumaliza mpaka alipofika manji ambaye alifanikiwa kumaliza mgogoro na kurejesha Aman.yanga wanavyo mwabudu huyu manji kama Mungu wao wataua mtu
Ww unaonekana shabiki wa simbaDu, afadhali sasa wanayanga wataendesha klabu yao kwa maslahi ya klabu maana huyu kanji alikuwa amedhamiria kuinyonya yanga kama kupe kwa muda wa miaka 10! Yanga oyeeeeeee!
Ni kweli kwa 100% shafii alionyesha chuki juu ya manji ingawa mwenzake kule clouds hana chuki ameinyesha kutomuunga mkono kwenye hilo Dili lake pengine pesa aliyopewa na maadui wa manji kala peke yake.Shafii dauda ni namba moja ya waliomkashfu manji na hii text nayo ni ya kuonyesha upuuzi wake..
Alipaswa pia kusema na yeye ni miingoni mwa wanao mdhihaki manji.