Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

.....WANITAFUTE NITAIENDESHA yanga PEKE Yangu kwa trilion 1.....
 
Mimi uwa naipenda sana kamati ya ufundi....kuhusu suala la timu kushinda mechi kwao ni gumu.....ila kuzuia maendeleo ni mbele kwa mbele hakuna kulemba...kesha pigwa juju huyo......ngoja nisubiri sport bar.
 
Hivi Mengi alikuwa wapi wakati timu inafanya vibaya miaka ya 2003.
Unakumbuka Mengi alijaribu kuingia yanga na kuwashauri wanachama wageuze klabu kuwa kampuni ili anunue hisa. Kilichotokea alitolewa na bakora na kwa msaada wa polisi.!!!
 
mhhh manji naona yanga ikiwa kama simba na simba ikiwa kama yanga azam wakibaki pale pale watakuwa wanaitwa yanga ya matopeni na simba wa kimataifa
 
mhhh manji naona yanga ikiwa kama simba na simba ikiwa kama yanga azam wakibaki pale pale watakuwa wanaitwa yanga ya matopeni na simba wa kimataifa
Tulia wewe..Simba yenyewe sidhani kama wale wababaishaji watakubali kuachia Timu.Na kwa Uongozi huu Simba akichukua ubingwa nina hakika hata Hashim Rungwe atakua Rais wa Tanzania Mungu akimpa Uhai.
 
Atarejea tu anawajaribu wanachama wa yanga
 
Kama hii habari ni ya kweli....tunaweza kusikia watu kibao pale mtaa wa jangwani watakufa kwa presha kwa sababu mshtuko......

Habari hii imekuja wakati mbaya sana.....
Kutakuwa Na maandamano makubwa sana jangwani
 
Halafu huwa nashangaa sana. Hawa wanajita wenye timu yaani ni njaa kwenda mbele.
Wachezaji maskini hawali vizuri,hakuna wanalopata. Kama hvyo Mungu akiumua ndio unakuta wanaenda huko na huko kucheza
 
haah tajiri kakasirika sijui wataendaje kukamilisha ratiba ya kombe shirikisho inabiidi wakaombe msamaha kwa kanjibahi piga goti hapa
 
Sasa zile bilion 10 anazodai Yanga vipi?,au amesamehe?...Mzee Mzimba/Akilimali wataenda kumpigia magoti atarudi tu..Yebo yebo shida Sana..
 
Anatikisa kiberiti wampe timu huyo mhindi mjinga sana...anataka akodishe timu bure
Jamaa anajua ameishika Yanga kwa ufadhili wake.....na kweli akiiacha Yanga ghafla lazima utatetereka kwa muda.

Ndio tabu ya soka letu la Bongo, kutegemea mtu mmoja badala ya taasisi.
 
Afadhali hawa kuchkuch watuachie timu yetu
 
Du, afadhali sasa wanayanga wataendesha klabu yao kwa maslahi ya klabu maana huyu kanji alikuwa amedhamiria kuinyonya yanga kama kupe kwa muda wa miaka 10! Yanga oyeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…