Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Nina furaha sana Huyu jamaa kuondoka hapo yanga katunyanyasa saba na pesa zake na yeye ndio alikuwa mchawi wetu Nina imani sasa tutapumua
Hamtapumua bali njaa inabisha hodi na Timu itakuwa ndembendembe.
 
Whatever the case, Yanga itasonga mbele. Kama ni kweli yule mtu wa 65 billion ajitojeze mapema.
Hakuna mtu wa kuweka hizo pesa yanga, kutokana na kusheheni watu wenye midomo, wajuaji, madalali wa migogoro nk,
 
Yanga isajiliwe kama kampuni. Timu iuze hisa. Iundwe bodi ya kuisimamia yanga.
Timu ieneshwe kisasa.
 
Yanga ilikuwa inasonga mbele sasa imeamua kurudi nyuma, wanakwenda mbele Hatua 10 wanarudi nyuma hatua 15 kwa stye hii sasa yanga kwa heri wapinzani sasa watakuwa ni Azam na Simba hao wanaenda kuwa kama stendi united
 
Yanga ileeee shimon lazima mshike mkia safar hii mmeshazoea
 
Ni jambo la ajabu maamuzi ya wengi yanaonekana eti hawana akili wamekurupuka kuliko mzee na wenzie walieshindwa kufanya chochote ndani ya Yanga kwa wakati wote waliokuwepo pale zaidi ya kuganga njaa na wengine kushindwa kutia chochote, lakini mzee ni mnafiki sana sijui safari hii hajapewa chochote maana ndio huwa mtetezi mkuu leo kageuka kawa Yuda kwa Mwenyekiti, wazee wa nana hii ni hatari sana kwa jamii.
Yanga kuna watu wanaishi wa Fitna na majungu wao hujipatia pesa kupitia uchonganishi na migogoro na kipindi yanga ikiwa na Amani walishinda njaa, sasa kutwa wanaheng'i kila kona kutafuta watu wa kuwapiga pesa kisha wanaenda upande wa pili Kuchukua pesa.
 
Yanga ileeee shimon lazima mshike mkia safar hii mmeshazoea
Ni kweli mkuu maana magufuli ni Simba hawezi kuitakia yanga mazuri pasipo mwanachama wa CCM manji kuwemo ndani
 
Sasa nani atamlipa mshahara Obrey Chirwa, mchezaji ghali kuliko wote katika VPL aliyesajiliwa kwa gharama ya 200M? Hapo lazima watu wachanganyikiwe, hasa wanaosalia madarakani. Naamini wengi kama sio wote watakimbia nafasi zao
Kuna madalali wa fitna za soka wanashinda kwa Mengi kuchukua pesa kisha kuleta chokochoko kwa kumtukana manji ili akimbie mengi achukue Timu, lakini huyo mengi anapaswa kujua methali hii ( ukiona mwenzio ananyolewa ww tia maji
Du! Hizi tuhuma zako ni mbichi ksbisa mkuu. Hebu tufafanulie kidogo.
 
Aisee huko jangwan nmepita kuna kilio kila kona watu wamekusanyija wanalia sana. Wanaomboleza na kugalagala wakimlilia manji.kuna jamaa kama 50 wameshazimia mpaka sasa na kuna waswas weng wanaweza kufa maana wansema wataishi vipi na familia zao
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Du! Hizi tuhuma zako ni mbichi ksbisa mkuu. Hebu tufafanulie kidogo.
Kuna wajanja wamebuni mbinu za kula pesa wakaenda kwa Manji kumdanganya kuwa Mengi anataka Timu na manji amepagawa kuna ujanja unafanywa na madalali wa soka la maji taka.
 
Hili linyonyaji linalojiita mulinzi ndo linaharibu soka hapa nchini. Wizi, rushwa, upangaji wa matokeo, ufisadi na matakataka mengine yote kwake ni marashi. Hovyo kabisa hili dudumizi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom