Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
Hizo nasikia nasikia Joh Makini anasemaga DON'T BOTHER.Nanyi muwe mnafikiria kwa kina. Mnadhan manji anatoa tu pesa zake ziende yanga ye hafaidiki na kitu? Kwa nini hamtaki kufikiria kwa kina?kuna maslah anapata lakin niny hamwez yajua.
Hebu tuachane na hilo. Nlisikia sikia eti siku hizi team wachezaji wnakaguliwa viwanja vya ndege ni kweli?
khaaaaa
hahaha. ..nani huyo mtaje basiWa billion 60 ni hisa. Sio 20 za kununulia hatifungani za serikali
Mbona povu jingi mkuu manji alikua anakulipia ada wanao nini?Nimeumia sana sanaaa Manji kujiuzulu... sana..na Yanga mtakufa kibudu... nahasira, na mmeniudhi...!! nahama Yanga.. huu sasa ni ubwege kupitiliza.. Manji ameisadia kwa hali na mali Yanga.. kutoka moyoni mwake... ametubeba kwa kila msaada.. alafu uongozi wa Yanga umeacha ujinga na majungu yaendelee, wakati wote huo Yanga inafanya vizuri hao watu wa majungu, uchawi na wapuuzi walikuwa wapi..?
I feel very disappointed... nimeumia sana... Sitaki tena nisikie sijui nn wala nn.. Yanga mtajiju..!! Machizi nn Uongozi wa Yanga... toka kuleee... mkafie mbali....
Nanyi muwe mnafikiria kwa kina. Mnadhan manji anatoa tu pesa zake ziende yanga ye hafaidiki na kitu? Kwa nini hamtaki kufikiria kwa kina?kuna maslah anapata lakin niny hamwez yajua.
Hebu tuachane na hilo. Nlisikia sikia eti siku hizi team wachezaji wnakaguliwa viwanja vya ndege ni kweli?
Wewe unawashwa nadhani Huna wa kukusugua leo endeleaAcha ujinga wewe... Manji kawasaidia nini yanga?sema ....kama una akili.kawaachia nini ambacho kinashikika?
mtataga mwaka huu.
Anyway huenda jamaa kasoma alama za nyakati kaona MO atamtoa kwenye njia so kajiwahi ili kulinda legacy yake!
Kama Reginald Mengi anafikiri anachukua Yanga anajidanganya...!! Ashindwe..!! Kazi fitina, chuki, majungu tupu... Kwanza safi kabisaa Manji waachie litimu lao.. siku mbaya sana kwangu hii...
We ushaolewa na MO Ndama NyieNenda ukaolewe na Manji
Ha ha haNa Jerry Muro itakuwaje sasa?
He he hee aise?
Ha ha haMbona povu jingi mkuu manji alikua anakulipia ada wanao nini?
Wanga tu waganga njaa jangwani yan matimu yabongo kushabikia inahtaji moyo sanaHivi haya mazee dzaini ya Akilimali yanafaida gani ktk maendeleleo ya soka letu!?
Yaani nyie badala ya kukaa kujiuliza ni lini mtalipa lile deni letu tulipowatandika sita mtungi, bado mnawayawaya wala hamjui njia ya kupita!!
Muweke wazi Malengo yenu kwenye Ligi uli kila mtu ayajue.Wakati umewadia wa kuwafunga tena zile goli 5
Muweke wazi Malengo yenu kwenye Ligi uli kila mtu ayajue.
Je lengo ni Ubingwa au kumfunga Yanga?
Msilenge sana kumfunga Yanga mkawasahau akina Toto Africans, Ndanda FC Azam na wengineo.... mtakuwa mnatwanga maji kukinu.
Tukumbuke kuwa mara nyingi mwanzoni mwa ligi huwa mnawaza Ubingwa ila baada ya muda mnawaza kumfunga Yanga..... Mkirudi kufikiria Ubingwa mnakuta Yanga amewaacha points 9...mnabaki kusema Yanga wananunua mechi na TFF wanaibeba Yanga.
Kuweni makini... [emoji23]