Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Kama mpango wa kuikodi Yanga ungefanikiwa kingekuwa ni kipimo cha "UJINGA WETU".
 
Nanyi muwe mnafikiria kwa kina. Mnadhan manji anatoa tu pesa zake ziende yanga ye hafaidiki na kitu? Kwa nini hamtaki kufikiria kwa kina?kuna maslah anapata lakin niny hamwez yajua.

Hebu tuachane na hilo. Nlisikia sikia eti siku hizi team wachezaji wnakaguliwa viwanja vya ndege ni kweli?
Hizo nasikia nasikia Joh Makini anasemaga DON'T BOTHER.
 
Nimeumia sana sanaaa Manji kujiuzulu... sana..na Yanga mtakufa kibudu... nahasira, na mmeniudhi...!! nahama Yanga.. huu sasa ni ubwege kupitiliza.. Manji ameisadia kwa hali na mali Yanga.. kutoka moyoni mwake... ametubeba kwa kila msaada.. alafu uongozi wa Yanga umeacha ujinga na majungu yaendelee, wakati wote huo Yanga inafanya vizuri hao watu wa majungu, uchawi na wapuuzi walikuwa wapi..?

I feel very disappointed... nimeumia sana... Sitaki tena nisikie sijui nn wala nn.. Yanga mtajiju..!! Machizi nn Uongozi wa Yanga... toka kuleee... mkafie mbali....
Mbona povu jingi mkuu manji alikua anakulipia ada wanao nini?
 
Hivi haya mazee dzaini ya Akilimali yanafaida gani ktk maendeleleo ya soka letu!?
 
Nanyi muwe mnafikiria kwa kina. Mnadhan manji anatoa tu pesa zake ziende yanga ye hafaidiki na kitu? Kwa nini hamtaki kufikiria kwa kina?kuna maslah anapata lakin niny hamwez yajua.

Hebu tuachane na hilo. Nlisikia sikia eti siku hizi team wachezaji wnakaguliwa viwanja vya ndege ni kweli?

Hahaha kwamba walikuwa wanabebeshwa mizigo au
 
Kama Reginald Mengi anafikiri anachukua Yanga anajidanganya...!! Ashindwe..!! Kazi fitina, chuki, majungu tupu... Kwanza safi kabisaa Manji waachie litimu lao.. siku mbaya sana kwangu hii...

Nenda ukaolewe na Manji
 
Nasikia anataka kununua hisa asilimia 49 za Simba Yanga haitaki Tena
 
Yaani nyie badala ya kukaa kujiuliza ni lini mtalipa lile deni letu tulipowatandika sita mtungi, bado mnawayawaya wala hamjui njia ya kupita!!

Kuna Tofauti sana kati ya Yanga na Simba.

Wakati bao 5 zimekupa point 3 bila ubingwa.
Yeye mabao 4 zimempa point 6 na Ubingwa.

Mnasafari ndefu sana kutafuta la Kujivunia mbele ya Yanga!
 
Wakati umewadia wa kuwafunga tena zile goli 5
Muweke wazi Malengo yenu kwenye Ligi uli kila mtu ayajue.

Je lengo ni Ubingwa au kumfunga Yanga?

Msilenge sana kumfunga Yanga mkawasahau akina Toto Africans, Ndanda FC Azam na wengineo.... mtakuwa mnatwanga maji kukinu.

Tukumbuke kuwa mara nyingi mwanzoni mwa ligi huwa mnawaza Ubingwa ila baada ya muda mnawaza kumfunga Yanga..... Mkirudi kufikiria Ubingwa mnakuta Yanga amewaacha points 9...mnabaki kusema Yanga wananunua mechi na TFF wanaibeba Yanga.

Kuweni makini... [emoji23]
 
Ukweli kuntu,umepiga kwenye chembe.
 
Back
Top Bottom