Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huu ujinga uliopo Yanga unataka kutueleza haupo Simba?Kufa kufaana => Wajanja, madalali wa michezo na wapika majungu na Fitna ni mda wao kuokota pesa za wale maadui wa manji huku wengine wakienda kwa manji kujidai kumpelekea taarifa za uchunguzi wao wanavuta pesa, Mfumo huu wa kuwa na Wanachama wajinga wajinga wenye njaa wapenda Fitna ni Mfumo wa kipumbavu sana, haukuzi soka bali soka la Tanzania litazidi kudidimia kwani endapo Manji ataondoka akaja mwingine bado hao wanachama njaa watamuyumbisha tu, ni wakati wa kuangalia Upya juu mifumo mibovu inayoiongoza soka la Tanzania, kule Ulaya wanachama hawana uwezo wa kuyumbisha Timu kwa majungu na njaa zao hata vilabu vikuwa Africa kusini na kwingineko barani afirika hakuna ujinga kama huu uliopo Yanga.
Zile dola laki tatu za Okwi zipo wapi?