barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
UKWELI NI KWAMBA SIMBA NA YANGA HAZIJAWAHI KUWA ON FORM KWA WAKATI MMOJA, mmoja akisua sua mwingine anapeta, Yanga sasa wakati umewadia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uwezekano mtu mzima kabanwa kodi na madili hayaendi freshi.Wakati wenu chura umepita wa jk
Ngoja kwanza mkuu.. Huu mchezo hauhitaji hasira....
kila jambo na wakati wake
Kweli kabisa mkuu, hili jamaa sijui likoje. Wewe umeleta suala jinsi lilivyo kutoka kw shaffih dauda halafu linakuja hapa kubinua mnduku wake mpana hapa utadhani linataka kubanduliwa.Kabanduliwe bwege wewe
mkuu tuendelee kuchochea kuni hivyo hivyo natamani hii nyumba iteketee kwa MOTOOO[emoji84] [emoji83]Manji kaa pembeni... tuone sasa kama Uchawi wa akina Akilimali ndio utaongoza Yanga... Manji usikubali... hata wakikuomba vipi, usikubali...!! Just start your own team... Anzisha timu ya mpira moja kali sana... achana na Yanga kabisa...
Hivi Mzee Akilimali ameisaidia vipi Yanga katika mafanikio yake tangu amekuwa kwenye Baraza la wazee hilo. Unaweza kuta hata kadi halipii ada zake za Mwaka afu anasema Manji kakurupuka.
Alitaka amuambie yeye Akilimali kama Nani labda? Ana hisa quality group. Mshahara analipa yeye kuikodi timu imekuwa tatizo.
Kila kitu mnataka tuige ulaya kwanini wao wasiwaige nyingi?
mkuu tuendelee kuchochea kuni hivyo hivyo natamani hii nyumba iteketee kwa MOTOOO[emoji84] [emoji83]
Yanga ilipiga hatua sasa inarudi nyuma kisa wajanja wametumia fursa kula pesa za maadui wa manji na kupenyeza Sumu.
Poleni watani
Wengine sijui tutaishije, Yanga inarudi kuwa ya matopeni, Arsenal nao ndiyo vile mlivyosikia.
Mapungu yenu mnaiangushia Simba.Muweke wazi Malengo yenu kwenye Ligi uli kila mtu ayajue.
Je lengo ni Ubingwa au kumfunga Yanga?
Msilenge sana kumfunga Yanga mkawasahau akina Toto Africans, Ndanda FC Azam na wengineo.... mtakuwa mnatwanga maji kukinu.
Tukumbuke kuwa mara nyingi mwanzoni mwa ligi huwa mnawaza Ubingwa ila baada ya muda mnawaza kumfunga Yanga..... Mkirudi kufikiria Ubingwa mnakuta Yanga amewaacha points 9...mnabaki kusema Yanga wananunua mechi na TFF wanaibeba Yanga.
Kuweni makini... [emoji23]
[emoji2]Hapana. Mimi ni mmoja wa 'WAZEE WA YANGA'.
Ni mpana sana huo au!?[emoji23] [emoji23]Kweli kabisa mkuu, hili jamaa sijui likoje. Wewe umeleta suala jinsi lilivyo kutoka kw shaffih dauda halafu linakuja hapa kubinua mnduku wake mpana hapa utadhani linataka kubanduliwa.
Huyo mzee wanashindwa hata kumpiga bastola apoteekabisa!? Hv kweli timu zetu hadi leo hii znategemea wazee halaf ndo tunajipa moyo wa kufika mbali kimataifa!!Huyo mzee ni mchawiiii... mchawiiii sana... na ndio anataka kila mtu amuogope sbb ni mchawi... vijana kama mm wazee kama hawa nikuwachapa vibao tu... hana mchango wowote Yanga.. kazi uchawi na ushirikina tu... anatishia kila mtu kumloga.. wengine hatuogopi hilo... huyu mzee ni mzizi wa mgogoro Yanga, kwa miaka.. mchawi chawiiii sana... anafikiri bila uchawi Yanga haiwezi kufanikiwa...
Manji kamvumilia sana huyu mzee.. na Manji kampa hela za kula kila wakati mwanzoni... sasa Manji aliacha kumpa hela sbb alijua hafanyi chochote.. akaanza majungu...
Manji, plse usirudi Yanga.. kaa pembeni wamlete huyo Mengi... tuone...!!