Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

UKWELI NI KWAMBA SIMBA NA YANGA HAZIJAWAHI KUWA ON FORM KWA WAKATI MMOJA, mmoja akisua sua mwingine anapeta, Yanga sasa wakati umewadia.
 
Ngoja kwanza mkuu.. Huu mchezo hauhitaji hasira....

Hasira lazimaaaa... lazimaaa... ikikufika shingoni, oxygen inakabwa, hasira lazima, Yanga management shuleless kabisa... watu wanasaidiwa na Manji kwa hali na mali, kawabeba miaka... leo wanaachia majungu na majinga yaaingilie uongozi, na hao wanaoleta majungu wala hata hawajui Yanga wana fadhiliwa vp na Manji... wako kazi midomo tu... inaniuma sana...na Manji naomba usirudi... kaa kando.. wakome... mijinga
kabisa...na huyo Mengi tumuone sasa Jangwani.. sijui ana nn, nimeudhika sana.. hv Yanga kuna nn lkn... wazee wachawi wachawi kama Akilimali kazi uchawi tu... ukimuuliza hata anaweza mlipia mchezaji mmoja anakukimbia... very annoying... na sasa ndio Yanga watakoma...!! I hate Yanga now
 
Manji kaa pembeni... tuone sasa kama Uchawi wa akina Akilimali ndio utaongoza Yanga... Manji usikubali... hata wakikuomba vipi, usikubali...!! Just start your own team... Anzisha timu ya mpira moja kali sana... achana na Yanga kabisa...
 
Hivi Mzee Akilimali ameisaidia vipi Yanga katika mafanikio yake tangu amekuwa kwenye Baraza la wazee hilo. Unaweza kuta hata kadi halipii ada zake za Mwaka afu anasema Manji kakurupuka.

Alitaka amuambie yeye Akilimali kama Nani labda? Ana hisa quality group. Mshahara analipa yeye kuikodi timu imekuwa tatizo.

Kila kitu mnataka tuige ulaya kwanini wao wasiwaige nyingi?
 
Kabanduliwe bwege wewe
Kweli kabisa mkuu, hili jamaa sijui likoje. Wewe umeleta suala jinsi lilivyo kutoka kw shaffih dauda halafu linakuja hapa kubinua mnduku wake mpana hapa utadhani linataka kubanduliwa.
 
mkuu tuendelee kuchochea kuni hivyo hivyo natamani hii nyumba iteketee kwa MOTOOO[emoji84] [emoji83]
 
Huyo mzee ni mchawiiii... mchawiiii sana... na ndio anataka kila mtu amuogope sbb ni mchawi... vijana kama mm wazee kama hawa nikuwachapa vibao tu... hana mchango wowote Yanga.. kazi uchawi na ushirikina tu... anatishia kila mtu kumloga.. wengine hatuogopi hilo... huyu mzee ni mzizi wa mgogoro Yanga, kwa miaka.. mchawi chawiiii sana... anafikiri bila uchawi Yanga haiwezi kufanikiwa...

Manji kamvumilia sana huyu mzee.. na Manji kampa hela za kula kila wakati mwanzoni... sasa Manji aliacha kumpa hela sbb alijua hafanyi chochote.. akaanza majungu...

Manji, plse usirudi Yanga.. kaa pembeni wamlete huyo Mengi... tuone...!!
 
mkuu tuendelee kuchochea kuni hivyo hivyo natamani hii nyumba iteketee kwa MOTOOO[emoji84] [emoji83]

Yaani Yanga leo iko kileleni... ndio waanza kumsakama Manji... sio hao wengine walikuwa wapi wakati Yanga ikiwa ktk hali mbaya... Manji did his best sana... kumaliza migogoro na timu ilitulia, tuliona mpira na ushindi, Yanga ikawa Yanga... sasa sijui mijitu mingine michawi inatoka wapi... haya mambo yanakatisha tamaa na kutia uchungu na hasira...!! Kuna nani anaweza kuiendesha Yanga kwa sasa kama Manji...? Nani..? ebu mtajeni hata mmoja..!! Hii inaumiza sana... Na Yanga ndio mtakoma sana... nataka mnashika mkia ktk ligi.. na bado
 
Yanga ilipiga hatua sasa inarudi nyuma kisa wajanja wametumia fursa kula pesa za maadui wa manji na kupenyeza Sumu.

Na sasa Yanga ndio itashikilia mkia... Manji asikubali kabisa kurudi... aache wenye vichwa maji kama akina mzee akilimali waongoze Yanga... na itashikilia mkia ktk ligi ikianza.. mark my words..

Yanga, ilitulia haswa.. Manji aliibeba kwa kila hali na mali.. na aliipenda timu haswa... hela zinapelea Manji anatoa mfukoni mwake.. na harudishiwi.. sio mara moja.. mara kibao.. ila ama kweli, TENDA WEMA UENDE ZAKO... watu wamezoea kuiba Yanga tu... sasa Manji kafunga milango yote ya uwizi.. bado wanamletea majungu..!!

Natamani Yanga ishike mkia... wachezaji watakata tamaa, yaani hakuna timu hapo tena..

I hate this... sina raha tena na mpira wa nyumbani.. na sitaki tena Yanga.. tokaaa kuleee, kwendaaa
 
Wengine sijui tutaishije, Yanga inarudi kuwa ya matopeni, Arsenal nao ndiyo vile mlivyosikia.

Yaani Yanga kama Bata.. unamtoa ktk uchafu na matope, anarudi tena, unavuta kutoka katika mitaro ya maji machafu, anarudi tena... Manji anawaonyesha Yanga iwe ya kisasa kama timu nyingine zote duniani, Yanga inarudi ktk poo...!!

Acha wafie mbali huko... Na Manji komaa usirudi.. waache.. uliwabeba sana hwabebeki, waache, usikubali hata wakilia...

aaaaarrrghh...!! Sina raha kabisa.. balaa tupu
 
Muweke wazi Malengo yenu kwenye Ligi uli kila mtu ayajue.

Je lengo ni Ubingwa au kumfunga Yanga?

Msilenge sana kumfunga Yanga mkawasahau akina Toto Africans, Ndanda FC Azam na wengineo.... mtakuwa mnatwanga maji kukinu.

Tukumbuke kuwa mara nyingi mwanzoni mwa ligi huwa mnawaza Ubingwa ila baada ya muda mnawaza kumfunga Yanga..... Mkirudi kufikiria Ubingwa mnakuta Yanga amewaacha points 9...mnabaki kusema Yanga wananunua mechi na TFF wanaibeba Yanga.

Kuweni makini... [emoji23]
Mapungu yenu mnaiangushia Simba.
 
Kweli kabisa mkuu, hili jamaa sijui likoje. Wewe umeleta suala jinsi lilivyo kutoka kw shaffih dauda halafu linakuja hapa kubinua mnduku wake mpana hapa utadhani linataka kubanduliwa.
Ni mpana sana huo au!?[emoji23] [emoji23]
 
Huyo mzee ni mchawiiii... mchawiiii sana... na ndio anataka kila mtu amuogope sbb ni mchawi... vijana kama mm wazee kama hawa nikuwachapa vibao tu... hana mchango wowote Yanga.. kazi uchawi na ushirikina tu... anatishia kila mtu kumloga.. wengine hatuogopi hilo... huyu mzee ni mzizi wa mgogoro Yanga, kwa miaka.. mchawi chawiiii sana... anafikiri bila uchawi Yanga haiwezi kufanikiwa...

Manji kamvumilia sana huyu mzee.. na Manji kampa hela za kula kila wakati mwanzoni... sasa Manji aliacha kumpa hela sbb alijua hafanyi chochote.. akaanza majungu...

Manji, plse usirudi Yanga.. kaa pembeni wamlete huyo Mengi... tuone...!!
Huyo mzee wanashindwa hata kumpiga bastola apoteekabisa!? Hv kweli timu zetu hadi leo hii znategemea wazee halaf ndo tunajipa moyo wa kufika mbali kimataifa!!
 
hana pesa kwa sasa alitegemea peza za wakwepa kodi.
 
Back
Top Bottom