Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakubaliana na wewe TRA shida ila sio wao tu kuna kanuni na sheria zibadilishwe ila kuna kitu nataka ujuwe wale wote unawaona kwenye huo mgomo sio wenye biashara wenyewe matajiri wenyewe hawapo hapo maana akiitwa mmoja mmoja hapo duka lako liko wapi? nakuhakikishia utaishia na wachuuzi tu. Huwezi kumtest Rais na viongozi wa juu kwa migomo haijawahi kutokea kupatiakana tija kwa migomo hata uko ulaya ni mazungumzo tu. Unasikia mtu anahojiwa tunataka serikali iingilie sasa Mkuu wa mkoa, waziri mkuu ni nani hao? serikali ni nani? mbona watu wanajitoa ufahamu. hao wote wamekaa kwenye milango ya maduka sio wenye maduka wenye maduka wanaogopa wanafunga wako majumbani tusidanganyane. usalama wa taifa ndio kazi kujuwa nani yuko nyuma ya hili maana ni sabotage hii sio bure.TRA Pana vijana wahuni Sana
Well ndugu yangu umesema kweli lakini pia ukitulia utagundua kabisa tena wazi pasi na chenga chenga kuwa matatizo tunayoyaona na kuyashuhudia katika sekta taasisi mbali mbali za Umma ni "utapiamlo" state yetu; Ikulu ni maslahi ya kikundi cha watu wachache Sana katika Nchi hii na hizi shiza na uozo wote ni ushahidi wa hiliMimi nakubaliana na wewe TRA shida ila sio wao tu kuna kanuni na sheria zibadilishwe ila kuna kitu nataka ujuwe wale wote unawaona kwenye huo mgomo sio wenye biashara wenyewe matajiri wenyewe hawapo hapo maana akiitwa mmoja mmoja hapo duka lako liko wapi? nakuhakikishia utaishia na wachuuzi tu. Huwezi kumtest Rais na viongozi wa juu kwa migomo haijawahi kutokea kupatiakana tija kwa migomo hata uko ulaya ni mazungumzo tu. Unasikia mtu anahojiwa tunataka serikali iingilie sasa Mkuu wa mkoa, waziri mkuu ni nani hao? serikali ni nani? mbona watu wanajitoa ufahamu. hao wote wamekaa kwenye milango ya maduka sio wenye maduka wenye maduka wanaogopa wanafunga wako majumbani tusidanganyane. usalama wa taifa ndio kazi kujuwa nani yuko nyuma ya hili maana ni sabotage hii sio bure.
Waziri mkuu kaona na wafanyabiashara jana kawaambia Jumatano akutane naoHuyo mpuuz na uchawa wake kwny chama asiulete kwny biashara na maisha watu.
Kama ameshahongwa akaridhika Basi afyate mkia kivyake afunge Domo lake[emoji34]
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia baadhi ya maduka kuendelea kufungwa, licha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana kuwataka wafanyabiashara hao kusitisha mgomo huku akiahidi kushughulikia kero zao kikao cha kesho Jumatano ya Mei 17, 2023.
Mbwana amesema kilio chao kama wafanyabiashara ilikuwa ni kusikilizwa na Rais Samia Suluhu Hassan, na katika kuonyesha kuwa amewasikia alimtuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
"Alipokuja aliwaomba wafanyabiashara wafungue maduka na kuahidi kuwasiliza siku ya Jumatano. Nashangaa wafanyabiashara kuwa hawana imani na Waziri Mkuu," amesema
Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.
Chanzo: Mwananchi
Uyo jamaa sio mwnykiti wa k'koo nzima,Mwenyekiti kalambishwa asali
Mdomo koma
We unaweza muamini mtu aliyesema tusihofu rais wetu ni mzima wa afya yuko anapiga kazi.
Tatizo la tra Ni wababe mno,Waziri mkuu kaona na wafanyabiashara jana kawaambia Jumatano akutane nao
Lengo ni leo jumanna akae na wahusika wote TRA nk wayaongee lesho jumatano awape jibu
Sasa hawampi nafasi hata leo tu aongee na watu wake
Sio sahihi
Huyo mpuuz na uchawa wake kwny chama asiulete kwny biashara na maisha watu.
Kama ameshahongwa akaridhika Basi afyate mkia kivyake afunge Domo lake[emoji34]
Uyo mpuuzi tangu j.mosi vikao vyote vya kuhamashisha migomo alikuepo, nashangaa eti kwny camera anamung'unya Maneno.Wafanyabiashara wa Kariakoo kufunga maduka ni kitu kinachowapa nguvu katika majadiliano (bargaining chip).
Sasa, unajiondoleaje kitu kinachokupa nguvu kabla ya kuingia kwenye chumba cha majadiliano?
How do you give away your bargaining chip before you step into the negotiating room?
Yani kabla Majaliwa hata hajaahidi chochote, umeshakubali kufungua duka, umempa motisha gani ya kufanyia kazi madai yako?
Jana nilikuwa namsikiliza mfanyabiashara mmoja anasema huyu kiongozi wao anatoa kauli hizi kwa kuiogopa serikali tu, lakini kuna kundi lao la Whatsapp anawaambia waendelee kugoma.
Akaulizwa, wenzao wakifungua maduka, hawa wanaogoma watawafanya nini?
Akasema wataandaa ndoo za mavi, watayamwaga kwenye maduka yatakayofunguliwa.
Nikasema ngoma inogile.
Hili sakata lazima litawapoteza watu.......Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia baadhi ya maduka kuendelea kufungwa, licha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana kuwataka wafanyabiashara hao kusitisha mgomo huku akiahidi kushughulikia kero zao kikao cha kesho Jumatano ya Mei 17, 2023.
Mbwana amesema kilio chao kama wafanyabiashara ilikuwa ni kusikilizwa na Rais Samia Suluhu Hassan, na katika kuonyesha kuwa amewasikia alimtuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
"Alipokuja aliwaomba wafanyabiashara wafungue maduka na kuahidi kuwasiliza siku ya Jumatano. Nashangaa wafanyabiashara kuwa hawana imani na Waziri Mkuu," amesema
Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.
Chanzo: Mwananchi
Huyo huo uwenyekiti wa k'koo nzima kajipachika tu, anahusika tu kule sokoni shimoniPale hamna mwenyekiti ni garasa tu
Mzee baba DeepPond ...huyo kiongozi mwenyewe analijua.....Uyo mpuuzi tangu j.mosi vikao vyote vya kuhamashisha migomo alikuepo, nashangaa eti kwny camera anamung'unya Maneno.
Kwa kifupi huyu ni snitch
Ukiona viongozi wa mgomo wanaitwa Pembeni tarajia kitu kama hichi, keshahongwaMwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia baadhi ya maduka kuendelea kufungwa, licha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana kuwataka wafanyabiashara hao kusitisha mgomo huku akiahidi kushughulikia kero zao kikao cha kesho Jumatano ya Mei 17, 2023.
Mbwana amesema kilio chao kama wafanyabiashara ilikuwa ni kusikilizwa na Rais Samia Suluhu Hassan, na katika kuonyesha kuwa amewasikia alimtuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
"Alipokuja aliwaomba wafanyabiashara wafungue maduka na kuahidi kuwasiliza siku ya Jumatano. Nashangaa wafanyabiashara kuwa hawana imani na Waziri Mkuu," amesema
Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.
Chanzo: Mwananchi
Sahii KABISA mkuu, uongozi Ni gharamaMzee baba DeepPond ...huyo kiongozi mwenyewe analijua.....
Hata ungekua wewe ungemumuny'a maneno....
Atapelekwa Kule ambapo watu wakienda hawarudi........
Kama unajijua ni muoga muoga siku zote usishiriki movement siku zote kwenye movement you have the price to pay....