Solution nyingine kuanzisha soko jipya free zone ili makato yote yafanyike pale mpaka VAT na mzigo mwisho wa mwaka kama haujauzwa basi mfanya biashara anaweza ku claim VAT na wafanya biashara wa nje wakivuka mpakanani wanaonesha mzigo na VAT wanarudishiwa aliyeuza mzigo kwa maana duka la free zone. Ni kama mafuta tu ya ya transit yana taratibu zingine na ya ndani zingine japo kuna watu walikuwa wanapiga mzigo wa Transit lakini hilo linazuilika tu kuweka seal na number basi ziko njia nyingi inahitaji kuumiza kichwa na kumaliza mianya ya rushwa na kama Kariakoo litafanywa free zone pia linawezekana ni kujipanga ili mwisho wa siku mfanya biashara awe mkubwa biashara ikue na serikali ipate na ni faida kwa serikali kila wafanya biashara wakipata zaidi na serikali inapata zaidi.