Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahii KABISA mkuu, uongozi Ni gharama
Tatizo Kuna majitu yanaingia kwny uongozi afu yanajua uongozi Ni mtelezo tu
waziri mkuu. muongo saana. haaminikiMwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia baadhi ya maduka kuendelea kufungwa, licha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana kuwataka wafanyabiashara hao kusitisha mgomo huku akiahidi kushughulikia kero zao kikao cha kesho Jumatano ya Mei 17, 2023.
Mbwana amesema kilio chao kama wafanyabiashara ilikuwa ni kusikilizwa na Rais Samia Suluhu Hassan, na katika kuonyesha kuwa amewasikia alimtuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
"Alipokuja aliwaomba wafanyabiashara wafungue maduka na kuahidi kuwasiliza siku ya Jumatano. Nashangaa wafanyabiashara kuwa hawana imani na Waziri Mkuu," amesema
Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.
Chanzo: Mwananchi
Una hoja usikilizweMamlaka lazima yaheshimiwe, mimi nawatetea sana wafanya biashara sababu najuwa TRA kuna shida sana lakini pia kuna wafanya biashara wengi tu ujanja mwingi kukwepa kulipa kodi hili wala sio siri. Sasa nataka niongee kwa ufupi huwezi kumtaka Raisi aje aingile direct tatizo kama hili sasa je akija halafu azomewe na akataliwe ombi fungueni nini kitatokea? ni hatari sana Rais atatoa tamko kila kitu kikiwa kimewekwa sawa sio kujadiliana je baada ya Rais mtaenda wapi? fujo au? tusifanye mambo kwa mihemuko hata mimi ningekuwa Rais nisingekubali hili kesho likitokea Mwanza, Dodoma sijui Iringa Rais aende? tuwe serious katika mambo ya nchi ni kweli TRA ni shida sana na pia ukwepaji wa kodi uko sana tu hakuna ubishi. Hata waziri mkuu kwenda pale ilikuwa hatua ya haraka na sio sawa ina poteza nguvu za walio chini ndio maana RC kupoteza sababu alikataliwa hadharani ina maana power hana tena na ukimkatalia waziri mkuu unamfanya kuwa dhaifu kabaki Rais naye mkija kumzomea atapoteza kila kitu na nchi itakuwa haitawaliki. Serikali itoe tamko kali kwa watu wenye kutaka kuleta madhara ya kiuchumi dawa hapa cance all lincence na tuanze upya hapo hapo sheria za TRA ziwekwe sawa ila hili la store ni majanga na hili nasema na uhakika nalo kuna bidhaa dukani utakuta inauzwa Mil 1 lakini ukiwa na connection utapata kwa laki 3, kwanini? ziko mali zimewekwa huko hazijalipiwa usidhani sheria hii kuja wamekurupuka wanajuwa nini kipo.
Utumbo gani kaongea!?Mwenyekiti mpumbavu kama huyu aliyepewa nafasi ya kuongea akaongea utumbo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza na Mwananchi kufuatia baadhi ya maduka kuendelea kufungwa, licha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana kuwataka wafanyabiashara hao kusitisha mgomo huku akiahidi kushughulikia kero zao kikao cha kesho Jumatano ya Mei 17, 2023.
Mbwana amesema kilio chao kama wafanyabiashara ilikuwa ni kusikilizwa na Rais Samia Suluhu Hassan, na katika kuonyesha kuwa amewasikia alimtuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
"Alipokuja aliwaomba wafanyabiashara wafungue maduka na kuahidi kuwasiliza siku ya Jumatano. Nashangaa wafanyabiashara kuwa hawana imani na Waziri Mkuu," amesema
Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.
Chanzo: Mwananchi
Uko sawa,Mamlaka lazima yaheshimiwe, mimi nawatetea sana wafanya biashara sababu najuwa TRA kuna shida sana lakini pia kuna wafanya biashara wengi tu ujanja mwingi kukwepa kulipa kodi hili wala sio siri. Sasa nataka niongee kwa ufupi huwezi kumtaka Raisi aje aingile direct tatizo kama hili sasa je akija halafu azomewe na akataliwe ombi fungueni nini kitatokea? ni hatari sana Rais atatoa tamko kila kitu kikiwa kimewekwa sawa sio kujadiliana je baada ya Rais mtaenda wapi? fujo au? tusifanye mambo kwa mihemuko hata mimi ningekuwa Rais nisingekubali hili kesho likitokea Mwanza, Dodoma sijui Iringa Rais aende? tuwe serious katika mambo ya nchi ni kweli TRA ni shida sana na pia ukwepaji wa kodi uko sana tu hakuna ubishi. Hata waziri mkuu kwenda pale ilikuwa hatua ya haraka na sio sawa ina poteza nguvu za walio chini ndio maana RC kupoteza sababu alikataliwa hadharani ina maana power hana tena na ukimkatalia waziri mkuu unamfanya kuwa dhaifu kabaki Rais naye mkija kumzomea atapoteza kila kitu na nchi itakuwa haitawaliki. Serikali itoe tamko kali kwa watu wenye kutaka kuleta madhara ya kiuchumi dawa hapa cance all lincence na tuanze upya hapo hapo sheria za TRA ziwekwe sawa ila hili la store ni majanga na hili nasema na uhakika nalo kuna bidhaa dukani utakuta inauzwa Mil 1 lakini ukiwa na connection utapata kwa laki 3, kwanini? ziko mali zimewekwa huko hazijalipiwa usidhani sheria hii kuja wamekurupuka wanajuwa nini kipo.
Tanzania tunashida moja kubwa sana tena sana wewe waulize mambo ya umbea wanayajuwa yote lakini hizi sheria zinatungwa, zinaongelwa na wabunge ndio wawikilishi lakini wanaacha zinapita sababu tu wote ni CCM na kila mtu anatizama maslahi yake sheria inapita watu habari hawana linakuja mitaani ndio tunashtuka. Kama yale ya Tozo ndio haya haya, sasa jambo hili la store ndio kwanza naliskia leo wala hakuna elimu au matangazo kuwa mjiandae hakuna na media zetu wako busy ke report tu matukio yaliyopita sio nini kinakuja tukikubali hili hakuna maana hili lingeweza kuziwa huko kabla ya kupitishwa ni wakati tuwe na record ni wabunge gani wamelipisha hili ili wahukumiwe huko mbele. USA kura yako ukipiga iko kwenye record ili kesho likiwa baya unanyoshewa kidole likiwa zuri unasifiwa huku hakuna kesho utasikia hao watunga sheria wakilalamika kumbe wao ndio walipitisha. lingine miswaada waandike kiswahili jamani wabunge wengi zero lugha ngumu na serikali inafanya kusudi tu kuandika kizungu kukuchanganya tu usiulize swali maana utaanza wapi. Lugha ya taifa kiswahili kwanini sheria kizungu, wanaficha nini.Well ndugu yangu umesema kweli lakini pia ukitulia utagundua kabisa tena wazi pasi na chenga chenga kuwa matatizo tunayoyaona na kuyashuhudia katika sekta taasisi mbali mbali za Umma ni "utapiamlo" state yetu; Ikulu ni maslahi ya kikundi cha watu wachache Sana katika Nchi hii na hizi shiza na uozo wote ni ushahidi wa hili
Atakuwa kashavuta bahasha kuubwaaa!!Kwamba Wana Imani na Sa100 hawamwamini Kassim!!!!!
Lakn mbona mkt huyo huyo, Jana na Leo amebadilika sana, nn kimemtokea?
Tusubiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtu wa sound sound Sana shenzy type alituletea salamu za Mtu alokwishakufaKatelephone muongo muongo sana yule mzee.
Kwanza alitaka afuatwe dodoma, wana wakakaza, kaja hapo katoa porojo ambazo nadhani hazitatekelezwa kama kawaida ya maagizo yake mengi.
Majaliwa matekelezo ya maagizo yake nayo n majaliwa
Sasa kama siyo mkiti wao wa kwao yu wapi? Mbona kikao na RC, WAZIRI MKUU yeye ndio yuko kiongozi? Pelekeni basi huyo kiogozi wenu jasiri. Huyo wenu si kiongozi huyo wenu ni nusanusa kupata habari za ndani wslio nyuma ya jambo hili.Mzee baba DeepPond ...huyo kiongozi mwenyewe analijua.....
Hata ungekua wewe ungemumuny'a maneno....
Atapelekwa Kule ambapo watu wakienda hawarudi........
Kama unajijua ni muoga muoga siku zote usishiriki movement siku zote kwenye movement you have the price to pay....
Mwenyekiti kama juhaminywa pumbu basi umelamba asali,Mamlaka lazima yaheshimiwe, mimi nawatetea sana wafanya biashara sababu najuwa TRA kuna shida sana lakini pia kuna wafanya biashara wengi tu ujanja mwingi kukwepa kulipa kodi hili wala sio siri. Sasa nataka niongee kwa ufupi huwezi kumtaka Raisi aje aingile direct tatizo kama hili sasa je akija halafu azomewe na akataliwe ombi fungueni nini kitatokea? ni hatari sana Rais atatoa tamko kila kitu kikiwa kimewekwa sawa sio kujadiliana je baada ya Rais mtaenda wapi? fujo au? tusifanye mambo kwa mihemuko hata mimi ningekuwa Rais nisingekubali hili kesho likitokea Mwanza, Dodoma sijui Iringa Rais aende? tuwe serious katika mambo ya nchi ni kweli TRA ni shida sana na pia ukwepaji wa kodi uko sana tu hakuna ubishi. Hata waziri mkuu kwenda pale ilikuwa hatua ya haraka na sio sawa ina poteza nguvu za walio chini ndio maana RC kupoteza sababu alikataliwa hadharani ina maana power hana tena na ukimkatalia waziri mkuu unamfanya kuwa dhaifu kabaki Rais naye mkija kumzomea atapoteza kila kitu na nchi itakuwa haitawaliki. Serikali itoe tamko kali kwa watu wenye kutaka kuleta madhara ya kiuchumi dawa hapa cance all lincence na tuanze upya hapo hapo sheria za TRA ziwekwe sawa ila hili la store ni majanga na hili nasema na uhakika nalo kuna bidhaa dukani utakuta inauzwa Mil 1 lakini ukiwa na connection utapata kwa laki 3, kwanini? ziko mali zimewekwa huko hazijalipiwa usidhani sheria hii kuja wamekurupuka wanajuwa nini kipo.