Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

TRA Pana vijana wahuni Sana
Mimi nakubaliana na wewe TRA shida ila sio wao tu kuna kanuni na sheria zibadilishwe ila kuna kitu nataka ujuwe wale wote unawaona kwenye huo mgomo sio wenye biashara wenyewe matajiri wenyewe hawapo hapo maana akiitwa mmoja mmoja hapo duka lako liko wapi? nakuhakikishia utaishia na wachuuzi tu. Huwezi kumtest Rais na viongozi wa juu kwa migomo haijawahi kutokea kupatiakana tija kwa migomo hata uko ulaya ni mazungumzo tu. Unasikia mtu anahojiwa tunataka serikali iingilie sasa Mkuu wa mkoa, waziri mkuu ni nani hao? serikali ni nani? mbona watu wanajitoa ufahamu. hao wote wamekaa kwenye milango ya maduka sio wenye maduka wenye maduka wanaogopa wanafunga wako majumbani tusidanganyane. usalama wa taifa ndio kazi kujuwa nani yuko nyuma ya hili maana ni sabotage hii sio bure.
 
Huyo mpuuz na uchawa wake kwny chama asiulete kwny biashara na maisha watu.

Kama ameshahongwa akaridhika Basi afyate mkia kivyake afunge Domo lake[emoji34]
 
Well ndugu yangu umesema kweli lakini pia ukitulia utagundua kabisa tena wazi pasi na chenga chenga kuwa matatizo tunayoyaona na kuyashuhudia katika sekta taasisi mbali mbali za Umma ni "utapiamlo" state yetu; Ikulu ni maslahi ya kikundi cha watu wachache Sana katika Nchi hii na hizi shiza na uozo wote ni ushahidi wa hili
 
Huyo mpuuz na uchawa wake kwny chama asiulete kwny biashara na maisha watu.

Kama ameshahongwa akaridhika Basi afyate mkia kivyake afunge Domo lake[emoji34]
Waziri mkuu kaona na wafanyabiashara jana kawaambia Jumatano akutane nao

Lengo ni leo jumanna akae na wahusika wote TRA nk wayaongee lesho jumatano awape jibu

Sasa hawampi nafasi hata leo tu aongee na watu wake

Sio sahihi
 

Shakuwa mtu wa hovyo, si maduka yao wana maamuzi nayo
 
Kwanza Huyo Martin hana mamlaka yyt ya kuwasemea wafanyabiashara wote wa K'koo.

Yeye anahusika TU na wale wafanyabiashara wa sokoni shimoni kwenye nyanya na vitunguu swaumu

Hili la kujifanya Ni mweyekiti wa wafanyabiashara wa k'koo nzima sijui huo uteuzi alimteua Nani.

Waandishi wawe wanajiridhisha kwanza na Hawa watu wanajojifanya kimbelembele l kabla ya kuleta habar public Kama hz zenye taharuki na uchonganishi mkubwa.
 
Wafanyabiashara wa Kariakoo kufunga maduka ni kitu kinachowapa nguvu katika majadiliano (bargaining chip).

Sasa, unajiondoleaje kitu kinachokupa nguvu kabla ya kuingia kwenye chumba cha majadiliano?

How do you give away your bargaining chip before you step into the negotiating room?

Yani kabla Majaliwa hata hajaahidi chochote, umeshakubali kufungua duka, umempa motisha gani ya kufanyia kazi madai yako?

Jana nilikuwa namsikiliza mfanyabiashara mmoja anasema huyu kiongozi wao anatoa kauli hizi kwa kuiogopa serikali tu, lakini kuna kundi lao la Whatsapp anawaambia waendelee kugoma.

Akaulizwa, wenzao wakifungua maduka, hawa wanaogoma watawafanya nini?

Akasema wataandaa ndoo za mavi, watayamwaga kwenye maduka yatakayofunguliwa.

Nikasema ngoma inogile.
 
Mwenyekiti kwenye mtaji/pesa na duka yangu ? This is Lackadaissical and Nonsensical
 
Waziri mkuu kaona na wafanyabiashara jana kawaambia Jumatano akutane nao

Lengo ni leo jumanna akae na wahusika wote TRA nk wayaongee lesho jumatano awape jibu

Sasa hawampi nafasi hata leo tu aongee na watu wake

Sio sahihi
Tatizo la tra Ni wababe mno,
Washajijua wameshika kwny makali Basi Ni hatupumui, Ni wanyanyasaji mno mkuu
 
Uyo mpuuzi tangu j.mosi vikao vyote vya kuhamashisha migomo alikuepo, nashangaa eti kwny camera anamung'unya Maneno.

Kwa kifupi huyu ni snitch
 
Mjanja sana lazima aseme ivyo ili asionekane anaunga mkono wenzake......ukiwa Field ndiyo utaelewa.........Saizi Kkoo Kuna Askari wa kutosha
 
Hili sakata lazima litawapoteza watu.......
WATAENDA KULE AMBAPO WATU WAKIENDAGA HAWARUDI.....
Najaribu kuwaza..
 
Uyo mpuuzi tangu j.mosi vikao vyote vya kuhamashisha migomo alikuepo, nashangaa eti kwny camera anamung'unya Maneno.

Kwa kifupi huyu ni snitch
Mzee baba DeepPond ...huyo kiongozi mwenyewe analijua.....
Hata ungekua wewe ungemumuny'a maneno....
Atapelekwa Kule ambapo watu wakienda hawarudi........

Kama unajijua ni muoga muoga siku zote usishiriki movement siku zote kwenye movement you have the price to pay....
 
Ukiona viongozi wa mgomo wanaitwa Pembeni tarajia kitu kama hichi, keshahongwa
 
Sahii KABISA mkuu, uongozi Ni gharama
Tatizo Kuna majitu yanaingia kwny uongozi afu yanajua uongozi Ni mtelezo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…