Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

waziri mkuu. muongo saana. haaminiki

alitudanganya. kuhusu magufuri. eidha alikuwa anajua mgonjwa au amaekufa. anatuambia magu yupo fit. anachapa kazi. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] anaongea kwenye mimbali ya msikiti. unaongopa kabisa msikitin. ambapo tunaamini MUNGU anakuwepo mahala pale Sasa utamwaminije MTU kama huyu

matamko mangapi anayatoa lakin. hayatekelezwi huyu hafai kuwaPM kabisa

mbona enzi za lowasa alikuwa akitamka. jambo mawazili walitiii
 
Kuna mshikaji wangu naona kaweka status....
Kimenuka mitaa flani ya kariakoo...............
Mwenye updates anaweza kutujuza..........
 
Una hoja usikilizwe
 
Haya ni yale yale unatengeneza tatizo then unalitatua!!!
 

Mwenyekiti huyu mtu mwema sana, yuko fair sana
 
Uko sawa,

Bt ndugu Maja angeanza na utangulizi Kwa kuweka hadharani Ripoti ya kuungua Kwa soko,

Angeaminika na kueleweka kirahisi.
 
Tanzania tunashida moja kubwa sana tena sana wewe waulize mambo ya umbea wanayajuwa yote lakini hizi sheria zinatungwa, zinaongelwa na wabunge ndio wawikilishi lakini wanaacha zinapita sababu tu wote ni CCM na kila mtu anatizama maslahi yake sheria inapita watu habari hawana linakuja mitaani ndio tunashtuka. Kama yale ya Tozo ndio haya haya, sasa jambo hili la store ndio kwanza naliskia leo wala hakuna elimu au matangazo kuwa mjiandae hakuna na media zetu wako busy ke report tu matukio yaliyopita sio nini kinakuja tukikubali hili hakuna maana hili lingeweza kuziwa huko kabla ya kupitishwa ni wakati tuwe na record ni wabunge gani wamelipisha hili ili wahukumiwe huko mbele. USA kura yako ukipiga iko kwenye record ili kesho likiwa baya unanyoshewa kidole likiwa zuri unasifiwa huku hakuna kesho utasikia hao watunga sheria wakilalamika kumbe wao ndio walipitisha. lingine miswaada waandike kiswahili jamani wabunge wengi zero lugha ngumu na serikali inafanya kusudi tu kuandika kizungu kukuchanganya tu usiulize swali maana utaanza wapi. Lugha ya taifa kiswahili kwanini sheria kizungu, wanaficha nini.
 
Kassim Majaliwa aliwashutumu TRA kudharau agizo la rais lakini nayeye wafanyabiashara Kariakoo wamedharau agizo lake hawajafungua maduka, hii imekaaje?!
 
Katelephone muongo muongo sana yule mzee.
Kwanza alitaka afuatwe dodoma, wana wakakaza, kaja hapo katoa porojo ambazo nadhani hazitatekelezwa kama kawaida ya maagizo yake mengi.

Majaliwa matekelezo ya maagizo yake nayo n majaliwa
 
Hii nchi wajinga ni wengi sana! Unaweza kumuona mtu ni tajiri wa Mali kumbe kichwani hamna kitu kbs. Yeye alivyoitisha mgomo nani alimkamata?

Kama wenzie bado wamegoma inamaana hoja zao au malalamiko Yao Bado hayajajibiwa na serikali. Ndio shida ya kuanzisha migomo alafu Kila mtu ana ajenda yake.
 
Katelephone muongo muongo sana yule mzee.
Kwanza alitaka afuatwe dodoma, wana wakakaza, kaja hapo katoa porojo ambazo nadhani hazitatekelezwa kama kawaida ya maagizo yake mengi.

Majaliwa matekelezo ya maagizo yake nayo n majaliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtu wa sound sound Sana shenzy type alituletea salamu za Mtu alokwishakufa
 
Sasa kama siyo mkiti wao wa kwao yu wapi? Mbona kikao na RC, WAZIRI MKUU yeye ndio yuko kiongozi? Pelekeni basi huyo kiogozi wenu jasiri. Huyo wenu si kiongozi huyo wenu ni nusanusa kupata habari za ndani wslio nyuma ya jambo hili.
 
Solution nyingine kuanzisha soko jipya free zone ili makato yote yafanyike pale mpaka VAT na mzigo mwisho wa mwaka kama haujauzwa basi mfanya biashara anaweza ku claim VAT na wafanya biashara wa nje wakivuka mpakanani wanaonesha mzigo na VAT wanarudishiwa aliyeuza mzigo kwa maana duka la free zone. Ni kama mafuta tu ya ya transit yana taratibu zingine na ya ndani zingine japo kuna watu walikuwa wanapiga mzigo wa Transit lakini hilo linazuilika tu kuweka seal na number basi ziko njia nyingi inahitaji kuumiza kichwa na kumaliza mianya ya rushwa na kama Kariakoo litafanywa free zone pia linawezekana ni kujipanga ili mwisho wa siku mfanya biashara awe mkubwa biashara ikue na serikali ipate na ni faida kwa serikali kila wafanya biashara wakipata zaidi na serikali inapata zaidi.
 
Mwenyekiti kama juhaminywa pumbu basi umelamba asali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…