Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

Amesema shida ni kikundi cha watu wachache wanaoonekana kuwa na manufaa na mgomo huo huku akieleza kuwa ameomba msaada kwa vyombo vya usalama kuwachukulia hatua na kusema yupo tayari kutoa ushirikiano.

Chanzo: Mwananchi
Mwisho wa kunukuu
 
F
Fafanua kwa urahisi ndugu
 
Sasa kama siyo mkiti wao wa kwao yu wapi? Mbona kikao na RC, WAZIRI MKUU yeye ndio yuko kiongozi? Pelekeni basi huyo kiogozi wenu jasiri. Huyo wenu si kiongozi huyo wenu ni nusanusa kupata habari za ndani wslio nyuma ya jambo hili.
Umefuatilia mtiririko wa chatting hapo juu ?au UMEKUJA KUNILETEA UHARO WAKO HAPA.......

Baba angu mkubwa Aliwai niambia.........
"LITTLE EDUCATION IS VERY DANGEROUS"

jifunze kusoma maoni ya watu Kwa utulivu naku Brainstorming 🧠 kabla ya kupost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…