Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

Mgombea amepata ukame wa sera. Ni mweupe kabisa zimeisha. 2015 alipiga push up sana zika compansate sera. Mwaka huu hakuna kitu. Ni mweupe kabisa.
 
Kwa kauli hiyo tunaamini kuwa:
1: Yeye katika nchi hii ni "mwanzo na mwisho, ndiye mwenye nchi, na anaweza kufanya lolote atakalo.
2: Ni mubaguzi na ni kinyume na kauli yake ya: "maendeleo hayana chama".
3: Anavunja katiba aliyoapa kuilinda kwa kuwa nchi hii ni ya vyama vingi vya kisiasa.
4: Hafai kuchaguliwa kuwa rais.
 
Mleta mada Magufuli yuko sahihi ukichagua mbunge wa Chadema ujue hutaki maendeleo ya vitu iwe barabara shule hospital nk

Sababu sera yao hawataki vitu Na wako wazi .Uchaguzi ni kuchagua sera sio mtu tu

Ukichagua Chadema ni ujumbe kwa serikali kuwa eneo hilo hamtaki vitu na Raisi anawajibika kuheshimu maamuzi yenu kwa kutoleta vitu iwe barabara au mradi wowote
 
mimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana

Unasikitisha sana. Wewe ndo mbabaishaji na si chama.
Mzee jana akili kidoo zilimrudia akasema angetoa 10m, lakini sheria inamkataza hasijeambiwa anatoa rushwa. Kote alikotokea alikuwa anatoa maagizo ya pesa kutolewa, leo hakutoa kwa kisingizio cha sheria. Ki ukweli ni kwamba hawapendi hao wananchi.
 
Sisi tunataka maendeleo na tumeamua kumuongeza JPM 5 Tenaaa
 
Lugha za kampeni hizo
 
"Maendeleo hayana chama" - hii kauli hutolewa na nani??
 
"Maendeleo hayana chama" Pombe Raisi wa Tanzania.
 
Hawezi mkuu, hana kaliba ya uongozi,amezoea kufokafoka tu na kutumia ubabe
 
Nimeona hadi kwenye makundi ta whatsap hata wale pro-magufuli wanakerwa sana na kampeni za kishamba za jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…