Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema utakuwa wewe mwanaLumumba!?💩mimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana
Kwa hiyo anaposema maendeleo hayana chama ni geresha tu?Wapinzani hawataki maendeleo ya vitu sasa asingekuwepo Kapuya mbunge wa CCM mdai maendeleo ya barabara hiyo barabara isingejengwa.Kasome sera ya Chadema hawana mpango na maendeleo ya vitu ina maana ukichagua mbunge wa Chadema sabau maendeleo ya vitu sababu hatayatafuta sera yake hairuhusu
Wala Dr Magufuli hajakosea
Walipo wabunge wa Chadema apeleke maendeleo ya vitu ya nini? Kuchagua mbunge wa Chadema ni kuchagua sera kuwa watu wa eneo hilo hawataki maendeleo ya vitu sasa kama hawataki unawalazimisha kuwapelekea?
Kwenye kampeni kuna namna nyingi ya kumshawishi mpiga kura, hii nayo ni mbini moja wapo katika kuhakikisha kuwa unapata kura za kutosha."Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli
ITV Tanzania / Nipashe
Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Mmmhhhh.... leo ndio nimejua Kweli wewe ni "mwana ccm"Wana CCM Wenzangu leo niwaambieni tu ukweli kuwa Kauli za 'Kibabe' na zenye 'Ubinafsi' kama hizi 'zinamuharibia' mno Mgombea Wetu Dkt. JPM.
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli
ITV Tanzania / Nipashe
Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Ni muongo ndio.maana unatoka ndukiiiiiKuna siku atasema wapinzani wote wahame Tanzania.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Msema kweli mpenzi wa Mungu, yeye anaongea ukweli uliopo moyoni mwake, huenda wewe ndio hujamuelewa au humuelewi.Wana CCM Wenzangu leo niwaambieni tu ukweli kuwa Kauli za 'Kibabe' na zenye 'Ubinafsi' kama hizi 'zinamuharibia' mno Mgombea Wetu Dkt. JPM.
Vyama viko vingi kinachotaka maendeleo ya vitu ruksa kupelekaKwa hiyo anaposema maendeleo hayana chama ni geresha tu?
Mleta mada Magufuli yuko sahihi ukichagua mbunge wa Chadema ujue hutaki maendeleo ya vitu iwe barabara shule hospital nk
Sababu sera yao hawataki vitu Na wako wazi .Uchaguzi ni kuchagua sera sio mtu tu
Ukichagua Chadema ni ujumbe kwa serikali kuwa eneo hilo hamtaki vitu na Raisi anawajibika kuheshimu maamuzi yenu kwa kutoleta vitu iwe barabara au mradi wowote
Kwahiyo barabara amejenga kwasababu ya Kapuya na si wananchi waliomweka madarakani?Kwahiyo Kapuya angekufa hiyo barabara isingejengwa?This guy is sick!
Wewe naye umeshapuuzwa na hoja yako hiyo mfu ila bado unahangaika tu!
Wewe jamaa una akili kweli?Halafu unaweza ukakuta una familia kabisa,wewe ni mzigo hadi kwa watoto wako!Sijui utawafundisha nini!
Nimeshangaa sana!
Magufuli ni mbaguziKaka YEHODAYA kwa mantiki hii, bhasi kama anawapatia watu kulingana na sera waliochagua i.e waliochangua upinzani bhas awapatie yale ya ilani ya upinzani!
Kwanini msumeno ukate upande mmoja?
Mimi binafsi nlikuwa namuona JPM bonge la genius lakini kiukweli am very disappointed!
Ni mweupe mno....if you know what am saying!
Wewe kila siku unamuunga mkono Lissu, leo unasema Magufuli ni m/kiti wako, siyo unafiki wa siasa? Ukweli Magufuli hafai, lakini ni bora kuliko waliopita na Lissu hafai zaidi!
Kwa hiyo chama cha Bwege hakikutaka stendi?Vyama viko vingi kinachotaka maendeleo ya vitu ruksa kupeleka