Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

We akili hauna hiyo milion mbili inatoka wapπŸ€”

We ni bunju
Wewe ambae huna 2m ndio takataka tu kwenye jalala. Vaa sidiria then mida ya usiku nenda pale mitaa ya Ohayo watakufuata wenye 2ml
 
Hizo nyimbo zako kawaimbie kwenye mikutano ya tundu lisu watakuelewa ambako wanasubiri kila kitu wapewe bure na serikali.
 
Kuna mapungu wanaudhi mpaka unatamani uchukue slash humer uwazibue mafuvuni! Wapumbafu hao achana nao!
 
We pambanua na Hali yako, utapakatwa ukitaka uwekewe hela mfukoni! Fanya kazi, Magu Katimiza aliyoahidi kufanya! Watz tumeona, na kuona ni kuamini! Magu Hana mpinzani! Wengine jitekenyeni afu mchele wenyewe Kama mazuzu!
 
Sasa hao viongozi tunaowachagua wanakazi gani kama si kubadilisha maisha ya mtanzania?
Kazi yao sio kubadilisha maisha yako, kqzi yao ni kuweka mazingira yatakayowasaidia miongoni mwa raia kubadili maisha yao wao wenyewe. Nenda pale feri uwane akina mama wanaokaanga samaki wanavyopiga fedha, nenda kariakoo waulize machinga wanatengeneza kiasi gani kaa siku, waulize wafugani kuku wanatengeneza kiasi gani kila baada ya wiki 3 - 4? Wewe subiri serikali ikushike mkono ikuonyeshe fursa. Hata mbinguni au peponi huwezi kwenda kiulaini kama unavyotaka serikali ikujaze fedha au anavyokuaminisha lisu na wengine aina hiyo
 
Wewe ni bure kabisa, kwa sababu lisu anabeza flyover na wewe unakariri. Wapuuzi kama nyinyi hamuwezi kuona umuhimu wa miundo mbinu ambayo mugufuli ameamua kuiendeleza. Tatizo lenu nyinyi wafia vyama upeo wenu wa kufikiri unaishia pale macho yenu yanapoishia kuona, pumbavu kabisa
 
Kuwa na lugha ya staha Basi eeh! Wazazi wa wenzako waweke kando na jadili hoja itapendeza kwani hata wewe unao wazazi na usingependa wawe sehemu ya mjadala Tena kwa kuitwa wajinga! Behave yourself please!
Nimekudharau sana. Rudi kwenye comment aliyonijibu huyo niliyemjibu. Ukiwa mstaarabu utajibiwa kistarabu, ukileta ufedhuli utajibiwa kifedhuli
 
Nimekudharau sana. Rudi kwenye comment aliyonijibu huyo niliyemjibu. Ukiwa mstaarabu utajibiwa kistarabu, ukileta ufedhuli utajibiwa kifedhuli
Ni upumbavu kudhani kuwa una uelewa kuliko wengine! Na dharau ni dalili za kiwango Cha juu Cha kuudhibitisha upumbavu uliotamalaki kwenye uelewa wako! Nakupuuza kwa upuuzi ulionao!
 
Dogo
Buku Saba zitakutoa roho! Hebu nieleze jinsi flyover inavyomsaidia mkulima wa kule kigoma na kwingineko? Unadhani kumpamba huyo magu kunakulisha na kukupa mahitaji yako?
Wenye upeo na uelewa huhoji manufaa ya miradi inayotekelezwa Kama Ina maslahi mapana kwa mtanzania mmojammoja na siyo kwa baadhi!
Ungekuwa muelewa ungeshauri badala ya kujenga hayo maflyover wakachimbe visima vya maji kule kwenu ili kuwakomboa wananchi kusaka maji na kuchangia maji na mifugo!
 
Kwanza ni vema nikijua najadiliana na binadamu mwenye upeo wa aina gani, wewe elimu yako ni kidato cha ngapi (coz I am sure kwa comment zako hata college kwako ni msamiati mgeni). Naweza kuwa napoteza muda wangu bure kujadiliana na watoto wa chekechea.
 
Tangu lini hekima na busara zikapimwa kwa kiwango Cha elimu ulichopitia kukariri tu mawazo ya wengine? Ok, acha nikubali kuwa ulipitia chuo kudesa na kupata hako kadegree kako kasikokusaidia kwani Kama gpa ya 2 Kama sikosei ongeza na sup za kutosha ulizopata Kisha unajivunia habari ya elimu ya chuo Cha kata humu! Feel shame Dada kwa kuingia elimu ya bongo! Ingekuwaje Kama ingekuwa na degree za vyuo vya maana? Kumbe ndio maana upo huko kwenye mambogamboga mnakusanyana wajinga watupu! Huna elimu ya kumtishia mtu humu acha ufala!
 
Acha kutoka povu weka hapo una elimu gani ili nisipoteze muda.
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Hana mazuri yoyote ,watu kupotea ,kutoongeza mishahara kwa miaka mitano,kutopandisha watumishi Madaraja ,kudhulumu wastaafu,kula hela tetemeko la kagera , kushindwa kuajiri miaka mitano hana mazuri yoyote yale.
 
Acha kutoka povu weka hapo una elimu gani ili nisipoteze muda.
Inakusaidia nini elimu yangu? Fanya yako acha ujinga? Unaowatumikia wanajitambua elimu na taaluma yangu, ikikupendeza waulize habari zangu wanazo!
 
Inakusaidia nini elimu yangu? Fanya yako acha ujinga? Unaowatumikia wanajitambua elimu na taaluma yangu, ikikupendeza waulize habari zangu wanazo!
Hahaha, unaona aibu kusema umetokea zile za kanumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…