paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mkuu, ndo umeandika nini sasa hapa? 😂Mtaisoma namba na ngonjera zenu, fyuuu......na mtajamba sana mgombea wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ndo umeandika nini sasa hapa? 😂Mtaisoma namba na ngonjera zenu, fyuuu......na mtajamba sana mgombea wenu
Wewe ambae huna 2m ndio takataka tu kwenye jalala. Vaa sidiria then mida ya usiku nenda pale mitaa ya Ohayo watakufuata wenye 2mlWe akili hauna hiyo milion mbili inatoka wap🤔
We ni bunju
Hizo nyimbo zako kawaimbie kwenye mikutano ya tundu lisu watakuelewa ambako wanasubiri kila kitu wapewe bure na serikali.Si kosa lako, waliokunyima elimu ya Uraia ili usijue umuhimu wa serikali ndio hao wa kuwalahumu. Unapozungumzia Rais unauzungumzia muhimili serikali, serikali ni mwamuzi sawa na refa uwanjani, jukumu lake kubwa ni kuweka sawa mazingira ya ushindani uwanjani pasipo uonevu. Kama ulishawahi lalamika refa Fulani alikuwa mbaya, basi ndio sawa na ukipata Rais mbaya.
Timu inaweza kuwa na uthubutu wa kutosha ila kwa refa mbaya kazi bure.
Kuna mapungu wanaudhi mpaka unatamani uchukue slash humer uwazibue mafuvuni! Wapumbafu hao achana nao!Whether he is a failure or not, not of business coz simtegemei magufuli kwa namna yeyote ile. it seems huna upeo wa kutosha wa kuelewa mfumo wa maisha ulivyo. Hao unaowatokea mifano hujui matatizo yao yaliyopelekea kujikuta katika hali waliyonayo. Kama wewe ulikua unaibia serikali kwa nini usifilisiwe. Kwa nini hutetei watumishi hewa? Bring facts and figures kuthibitisha magufuli ameharibu uchumi, usikariri maneno ya wengine.
We pambanua na Hali yako, utapakatwa ukitaka uwekewe hela mfukoni! Fanya kazi, Magu Katimiza aliyoahidi kufanya! Watz tumeona, na kuona ni kuamini! Magu Hana mpinzani! Wengine jitekenyeni afu mchele wenyewe Kama mazuzu!Kwani kikwete na Mkapa walikuwa wamefunga bomba la ajira Mbona wakati wao miradi ya maendeleo ilifanywa na hali ya maisha ilikuwa nzuri tuache kudanganya hii awamu imeshindwa kabisa ni bora kupisha wengine. Sasa hivi hata ukiwa na bishara hakuna wanunuzi, watu sasa hivi wanaona kula mayai ni luxury kula kuku pia matokeo yake ufugaji umekuwa hauna faida ni hasara tu. Haya maisha gani. Wote wanaosifia wako kwenye system ya utawala wafanya biashara na wakulima wanaelewa hali halisi ilivyo mbaya kimaisha.
Kazi yao sio kubadilisha maisha yako, kqzi yao ni kuweka mazingira yatakayowasaidia miongoni mwa raia kubadili maisha yao wao wenyewe. Nenda pale feri uwane akina mama wanaokaanga samaki wanavyopiga fedha, nenda kariakoo waulize machinga wanatengeneza kiasi gani kaa siku, waulize wafugani kuku wanatengeneza kiasi gani kila baada ya wiki 3 - 4? Wewe subiri serikali ikushike mkono ikuonyeshe fursa. Hata mbinguni au peponi huwezi kwenda kiulaini kama unavyotaka serikali ikujaze fedha au anavyokuaminisha lisu na wengine aina hiyoSasa hao viongozi tunaowachagua wanakazi gani kama si kubadilisha maisha ya mtanzania?
Wewe ni bure kabisa, kwa sababu lisu anabeza flyover na wewe unakariri. Wapuuzi kama nyinyi hamuwezi kuona umuhimu wa miundo mbinu ambayo mugufuli ameamua kuiendeleza. Tatizo lenu nyinyi wafia vyama upeo wenu wa kufikiri unaishia pale macho yenu yanapoishia kuona, pumbavu kabisaDogo
Akili yako ni ndogo Kama avatar yako! Siyo kila anayetoa maoni humu mwajiriwa na serikali! Tambua Hilo kwanza kabla hujawashambulia wengine waliojiajiri wenyewe!
Usichokijua kitakusumbua daima. Soma Tena nilichoandika juu ya Sera mbili zilizonadiwa na ccm na kukosa usimamizi na mitaji ambazo zingepewa kipaumbele Kama hiki Cha flyover, sgr na bwawa Basi ajira zingekuwa za kumwaga na ingekuwa historia!
Sera za kilimo na viwanda zilihitaji msukumo mkubwa mno kuliko Ile wa she, flyover na bwawa kwani zingeajiri kuanzia wakulima na wewe unayezurura na bahasha ya kaki kwenye ofisi zetu ukisaka kuajiriwa! Usijifariji hapa Bali iambie ccm yako iache Sanaa na kuwatumia wapigakura wake mafukara na maskioni ili uendelee kuwatawala na kinyume chake itekeleze Sera inazoombea kura ili kuleta maendeleo ya kweli! Hutaki, Baki na ujinga wako na elimu yako iliyoshindwa kukusaidia!
Nimekudharau sana. Rudi kwenye comment aliyonijibu huyo niliyemjibu. Ukiwa mstaarabu utajibiwa kistarabu, ukileta ufedhuli utajibiwa kifedhuliKuwa na lugha ya staha Basi eeh! Wazazi wa wenzako waweke kando na jadili hoja itapendeza kwani hata wewe unao wazazi na usingependa wawe sehemu ya mjadala Tena kwa kuitwa wajinga! Behave yourself please!
Inawezekana unatabia ya kuwaangalia wazazi wako wakiwa uchi!Akili yako iko uchi.bila Sera madhubuti hayo yote ni hewa.ccm oyeee
Kizazi cha dotcom hakina akili za kufikiri, uwezo wao wa kufikiri huishia pale macho yao yanapoishia kuona.Mimi ni dotcom thus Sina mawazo ya kijima Kama yako
Ni upumbavu kudhani kuwa una uelewa kuliko wengine! Na dharau ni dalili za kiwango Cha juu Cha kuudhibitisha upumbavu uliotamalaki kwenye uelewa wako! Nakupuuza kwa upuuzi ulionao!Nimekudharau sana. Rudi kwenye comment aliyonijibu huyo niliyemjibu. Ukiwa mstaarabu utajibiwa kistarabu, ukileta ufedhuli utajibiwa kifedhuli
DogoWewe ni bure kabisa, kwa sababu lisu anabeza flyover na wewe unakariri. Wapuuzi kama nyinyi hamuwezi kuona umuhimu wa miundo mbinu ambayo mugufuli ameamua kuiendeleza. Tatizo lenu nyinyi wafia vyama upeo wenu wa kufikiri unaishia pale macho yenu yanapoishia kuona, pumbavu kabisa
tulia uoneKizazi cha dotcom hakina akili za kufikiri, uwezo wao wa kufikiri huishia pale macho yao yanapoishia kuona.
Kwanza ni vema nikijua najadiliana na binadamu mwenye upeo wa aina gani, wewe elimu yako ni kidato cha ngapi (coz I am sure kwa comment zako hata college kwako ni msamiati mgeni). Naweza kuwa napoteza muda wangu bure kujadiliana na watoto wa chekechea.Dogo
Buku Saba zitakutoa roho! Hebu nieleze jinsi flyover inavyomsaidia mkulima wa kule kigoma na kwingineko? Unadhani kumpamba huyo magu kunakulisha na kukupa mahitaji yako?
Wenye upeo na uelewa huhoji manufaa ya miradi inayotekelezwa Kama Ina maslahi mapana kwa mtanzania mmojammoja na siyo kwa baadhi!
Ungekuwa muelewa ungeshauri badala ya kujenga hayo maflyover wakachimbe visima vya maji kule kwenu ili kuwakomboa wananchi kusaka maji na kuchangia maji na mifugo!
Tangu lini hekima na busara zikapimwa kwa kiwango Cha elimu ulichopitia kukariri tu mawazo ya wengine? Ok, acha nikubali kuwa ulipitia chuo kudesa na kupata hako kadegree kako kasikokusaidia kwani Kama gpa ya 2 Kama sikosei ongeza na sup za kutosha ulizopata Kisha unajivunia habari ya elimu ya chuo Cha kata humu! Feel shame Dada kwa kuingia elimu ya bongo! Ingekuwaje Kama ingekuwa na degree za vyuo vya maana? Kumbe ndio maana upo huko kwenye mambogamboga mnakusanyana wajinga watupu! Huna elimu ya kumtishia mtu humu acha ufala!Kwanza ni vema nikijua najadiliana na binadamu mwenye upeo wa aina gani, wewe elimu yako ni kidato cha ngapi (coz I am sure kwa comment zako hata college kwako ni msamiati mgeni). Naweza kuwa napoteza muda wangu bure kujadiliana na watoto wa chekechea.
kama kuna kitu amefail miaka hii 5 ni pamoja na utoaji wa misaada kwa wananchi wenye matatizo.Eti uzalendo, na kujinyima!!
Uzalendo na kujinyima ni kwa watu wa chini huku yeye anagawa mapesa barabarani!!
View attachment 1531012
Acha kutoka povu weka hapo una elimu gani ili nisipoteze muda.Tangu lini hekima na busara zikapimwa kwa kiwango Cha elimu ulichopitia kukariri tu mawazo ya wengine? Ok, acha nikubali kuwa ulipitia chuo kudesa na kupata hako kadegree kako kasikokusaidia kwani Kama gpa ya 2 Kama sikosei ongeza na sup za kutosha ulizopata Kisha unajivunia habari ya elimu ya chuo Cha kata humu! Feel shame Dada kwa kuingia elimu ya bongo! Ingekuwaje Kama ingekuwa na degree za vyuo vya maana? Kumbe ndio maana upo huko kwenye mambogamboga mnakusanyana wajinga watupu! Huna elimu ya kumtishia mtu humu acha ufala!
Hana mazuri yoyote ,watu kupotea ,kutoongeza mishahara kwa miaka mitano,kutopandisha watumishi Madaraja ,kudhulumu wastaafu,kula hela tetemeko la kagera , kushindwa kuajiri miaka mitano hana mazuri yoyote yale.2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Inakusaidia nini elimu yangu? Fanya yako acha ujinga? Unaowatumikia wanajitambua elimu na taaluma yangu, ikikupendeza waulize habari zangu wanazo!Acha kutoka povu weka hapo una elimu gani ili nisipoteze muda.
Hahaha, unaona aibu kusema umetokea zile za kanumba.Inakusaidia nini elimu yangu? Fanya yako acha ujinga? Unaowatumikia wanajitambua elimu na taaluma yangu, ikikupendeza waulize habari zangu wanazo!