Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

Hahaha, unaona aibu kusema umetokea zile za kanumba.
Hizo tulikujengeeni ninyi malofa Ila sisi tulisoma zile za saints enzi za gavana na baadaye makerere na kwa malkia na Canada! Kama una akili iliyosalia Basi utakuwa na jibu la elimu yangu ya tangu 1974!
 
Hizo tulikujengeeni ninyi malofa Ila sisi tulisoma zile za saints enzi za gavana na baadaye makerere na kwa malkia na Canada! Kama una akili iliyosalia Basi utakuwa na jibu la elimu yangu ya tangu 1974!
Weka elimu yako hapo, 1974! Adabu huna tu, wewe utakua mjukuu wangu
 
Weka elimu yako hapo, 1974! Adabu huna tu, wewe utakua mjukuu wangu
Babu mwenye akili hawezi jiitq dogo 1 hata siku moja! Basi Babu wewe uliruka hatua za makuzi according to Freud!
 
Mkuu ni sehemu gani ambayo hata Milo miwili kwa siku ni shida!?, Hapa tunahitaji references mkuu tusije rishana matango pori, maana najua mwaka huu almost nchi mzima wamelima Sana Sana kwahiyo availability ya chakula ni kubwa Sana.

Reference please.
Nenda Kijiji Cha matanzi
Kata ya beta
Tarafa ya miamba
Wilaya ya mkuranga
Mkoa wa pwani
Na vijiji vyote vilivyopo kata ya beta.
Kwa reference,
Sema lingine
 
Umesahau ukatili, kupotezwa watu, mateso na mauaji ya watu wasio na hatia.
Suala la Lissu kumiminiwa risasi ni pembe la ng'ombe kwake halifichiki.
 
Wewe ambae huna 2m ndio takataka tu kwenye jalala. Vaa sidiria then mida ya usiku nenda pale mitaa ya Ohayo watakufuata wenye 2ml

Omba Mungu hapo kwa dada ako unapoishi mumewe anaempa dada ako kiburi na wewe unapata kiburi asifilisike.....

Hivi unajua kuna jamii kubwa tu hapa hapa nchin wanaishi chini ya milo mitatu...?? Sasa hiyo 2milion anapataje ?

We binti akili huna
 
Nenda Kijiji Cha matanzi
Kata ya beta
Tarafa ya miamba
Wilaya ya mkuranga
Mkoa wa pwani
Na vijiji vyote vilivyopo kata ya beta.
Kwa reference,
Sema lingine
Nini kilichosababisha watu wasiwe na uhakika wa Milo miwili kwa siku!?, Je ni uzembe wao kutokufanya kazi!? Au ni Magufuli ndo alosababisha wasiwe na uhakika wa Milo miwili!?
Naomba jibu.
 
Kiukweli unafiki ni Mbaya, ni kweli maendeleo ya Vitu yanaonekana. Ila si ya majority population (maendeleo ya Watu).

Nampenda Magufuli ila kwenye hali ya maisha Hapana kwa kweli hapo kakwama sana.
Ajira za maana hakuna since 2015, kupandishwa madaraja ni kwa manga’munga’mu tu, Mafao hayaeleweki, uhuru wa vyombo vya habari si huru, n.k n.k

Na mimi nasema akipatikana Mgombea Akaja hata na ajenda ya uhakika wa Ajira kwa vijana hata elfu 2000 tu kwa mkupuo basi swala hili litaonekana lilivyoota mizizi. Na kura atapata

Naamini watu wamechoka ila kinachosumbua sasa ni uoga na nani aanze.
 
Huu uzi wa moto sana.

JPM akikanyaga kusoma huku hatapata cha kuongea.
 
Matusi hayatakusaida, yanazidi kukupoteza. Bi mdogo msubiri lisu
Nimeshapotezwa na MAGUFULI for 5 years!.. nipotee mara Ngapi?.. of course NITAMPIGIA TUNDU ANT.PAS LISSU!....For the sake of my Country and the people of its Republic including fools like you, ambao wanabwabwaja kisa shemeji kateuliwa kuwa DAS ,,,,the rest of Tanzanian wanalia and the can't yell out sababu propaganda na nguvu inayo tumika kutuaminisha tupo vizuri ni KUBWA,,KULIKO GRAVITATIONAL FORCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…