Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo tulikujengeeni ninyi malofa Ila sisi tulisoma zile za saints enzi za gavana na baadaye makerere na kwa malkia na Canada! Kama una akili iliyosalia Basi utakuwa na jibu la elimu yangu ya tangu 1974!Hahaha, unaona aibu kusema umetokea zile za kanumba.
Weka elimu yako hapo, 1974! Adabu huna tu, wewe utakua mjukuu wanguHizo tulikujengeeni ninyi malofa Ila sisi tulisoma zile za saints enzi za gavana na baadaye makerere na kwa malkia na Canada! Kama una akili iliyosalia Basi utakuwa na jibu la elimu yangu ya tangu 1974!
Babu mwenye akili hawezi jiitq dogo 1 hata siku moja! Basi Babu wewe uliruka hatua za makuzi according to Freud!Weka elimu yako hapo, 1974! Adabu huna tu, wewe utakua mjukuu wangu
Acha dhihaka ndugu,Tena ufute comment yako kabisaHivi mbona haya maisha magumu mnayoyasema wengine hatuyaoni.
Nenda Kijiji Cha matanziMkuu ni sehemu gani ambayo hata Milo miwili kwa siku ni shida!?, Hapa tunahitaji references mkuu tusije rishana matango pori, maana najua mwaka huu almost nchi mzima wamelima Sana Sana kwahiyo availability ya chakula ni kubwa Sana.
Reference please.
Umesahau ukatili, kupotezwa watu, mateso na mauaji ya watu wasio na hatia.Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya.
MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wangu, maisha ni magumu sana kwa watanzania wote hata mtu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Kama wasaidizi hawasemi ukweli mkuu huko mitaani watu taabani kuliko awamu iliyopita. Watu walioko vijijini hawataki kujua Dar es salaam kuna marababara za juu au kuna Airport, hawajui kama kama kuna makubwa yamefanyika. Wao wanataka maisha mazuri.
Kiukweli akitokea mgombea atakayewaambia vizuri walalahoi hawa kura zote atapewa.
BIASHARA KUWA NGUMU
Kwa sasa maisha ya wafanyabishara yamekua magumu kabisa kila mahali kuliko awamu iliyopita, lipo tatizo kubwa ambalo kama tusiposema ukweli CCM hakuna mfanyabiashara atakayetupatia kura.
MAISHA MAGUMU KWA WAFANYAKAZI WA UMMA
Ni muda sasa wafanyakazi wa umma wanalia na maslahi duni, wengi hawana amani.
Hapa kura hatupati kabisa katika kundi hili tupende tusipende. Akitokea mgombea atakayeongea vizuri na kundi hili anaweza kuvuna kura nyingi sana na atapewa ushirikiano mkubwa .Wao wanaangalia mtu atakayewajali vizuri.
Mimi najaribu kusema msije mkasema hatukurlshauri.
Wewe ambae huna 2m ndio takataka tu kwenye jalala. Vaa sidiria then mida ya usiku nenda pale mitaa ya Ohayo watakufuata wenye 2ml
Nini kilichosababisha watu wasiwe na uhakika wa Milo miwili kwa siku!?, Je ni uzembe wao kutokufanya kazi!? Au ni Magufuli ndo alosababisha wasiwe na uhakika wa Milo miwili!?Nenda Kijiji Cha matanzi
Kata ya beta
Tarafa ya miamba
Wilaya ya mkuranga
Mkoa wa pwani
Na vijiji vyote vilivyopo kata ya beta.
Kwa reference,
Sema lingine
Nimeshapotezwa na MAGUFULI for 5 years!.. nipotee mara Ngapi?.. of course NITAMPIGIA TUNDU ANT.PAS LISSU!....For the sake of my Country and the people of its Republic including fools like you, ambao wanabwabwaja kisa shemeji kateuliwa kuwa DAS ,,,,the rest of Tanzanian wanalia and the can't yell out sababu propaganda na nguvu inayo tumika kutuaminisha tupo vizuri ni KUBWA,,KULIKO GRAVITATIONAL FORCEMatusi hayatakusaida, yanazidi kukupoteza. Bi mdogo msubiri lisu