Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Whether he is a failure or not, not of business coz simtegemei magufuli kwa namna yeyote ile. it seems huna upeo wa kutosha wa kuelewa mfumo wa maisha ulivyo. Hao unaowatokea mifano hujui matatizo yao yaliyopelekea kujikuta katika hali waliyonayo. Kama wewe ulikua unaibia serikali kwa nini usifilisiwe. Kwa nini hutetei watumishi hewa? Bring facts and figures kuthibitisha magufuli ameharibu uchumi, usikariri maneno ya wengine.
Kuna biashara nyingi sana halali zinafungwa huku mtaani kwa kukosa wateja,hali ya kiuchumi ni mbaya.
Mkiendelea kumsifia na kuacha kumuambia ukweli huyo Magufuli watu watakufa kwenye malori kwa kukosa hewa wakikimbia nchi yao kama wanavyokufa Waethopia pamoja na kuwa na shirika la ndege kubwa kabisa Afrika,reli ya umeme na mabwawa ya kufua umeme.