Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu



Kuna biashara nyingi sana halali zinafungwa huku mtaani kwa kukosa wateja,hali ya kiuchumi ni mbaya.

Mkiendelea kumsifia na kuacha kumuambia ukweli huyo Magufuli watu watakufa kwenye malori kwa kukosa hewa wakikimbia nchi yao kama wanavyokufa Waethopia pamoja na kuwa na shirika la ndege kubwa kabisa Afrika,reli ya umeme na mabwawa ya kufua umeme.
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Sisi tunaangalia ya kwetu ya US haituhusu watajuana wenyewe huko, ila hali ni ngumu wakati serikali inaendesha miradi isiyonufaisha wananchi walio wengi.
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
October 2020 CCM Kwishaaaaaaaaa
 
Unatuambia tufunge mikanda kwa ajili ya vizazi vijavyo?Hivyo vizazi vitatoka wapi ikiwa Sisi wazazi tutashindwa kula,kuvaa nk?CCM mpya mnashangaza.Maisha yanaganda?Njaa ya leo inaweza kusubiri kesho?
Je,hiyo miradi ya Magu itaanza kutoa tija baada ya miaka mingapi?Marais waliomtangulia waliongeza mishahara,walipandisha miahahara/marupurupu na kuajir huku wakijenga miradi kama hiyo kuanzia Mwl.Nyerere ambaye alianzia from square zero baada ya Uhuru.Wangesema hayo ingetokea nini?Ninachodhani kinatokea kwa Magu hana Utu,ana roho mbaya na anapenda kuona tunasaga na kulimia meno kwa kisingizio cha maendeleo ya vitu.
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Punguza ujinga,sema Mimi,usitusemee watanzania milioni sitini,mwingine hatopiha,mwingine kapoyeza kadi,
Mwingine mfuasi wa chama kingine,
Mwingine Hana muda wa kupiga kura.
Jisemee nafsi yako
 
Naongezea kuhusu wastaafu,Kuna mratibu elimu hapa mtaani kwetu kastaafu mwezi wa nne,Leo wa nane,Leo bado hajalipwa hata senti tano,wabunge wamestaafu June,na mafao wamepata siku hiyo hiyo,unadhani huyu atapiga kura gani kwa mgombea wa CCM? Yeye na familia yake?
 
Nyie ndio manaochangia hii nchi kuwa na viongozi wenye fikra duni kipaumbele cha serikali yoyote ni maisha ya watu,miundombinu haitakuja kuwahi kumaliziks mpaka dunia inakwisha hata leo hii bado USA wanajenga barabara na madaraja.usipoimarisha maisha ya watu utakuwa na watu ambao life expectancy yao ni miaka michache pia watu ambao hawana uwezo wa kufikiri.
 
Mwache.. Tutamuadhibu vilivyo..
 

Barabara nzuri zipi? Hizi hapa?

Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea
 
Kila siku sredi zako ni hizi hizi
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Unapolinganisha vitu jaribu kuangalia vinavyokaribiana na kufanana. USA ni taifa tajiri la kwanza duniani na Tanzania ni nchi ya tano kwa umaskini duniani yaani ipo karibu na mwisho hivyo hazina mfanano kiuchumi na kijamii! Kuyalinganisha Maisha halisi ya mtanzania na mmarekani ni kuwakosea watanzania adabu! Kubali tu kuwa Maisha yetu ni magumu mno hasa awamu hii. Na hii yote inasababishwa na ama Sera mbovu zisizotekelezeka na au msimamizi wa Sera hizo ni mbovu asiyejua Cha kufanya na asiyekuwa na maoni Wala mipango!
 
Dogo:
Upo shallow Sana kwenye uelewa wa nadharia za uchumi. Unakumbuka Sera ya viwanda kwa kila wilaya? Haikuwa mbaya Kama ingekuwa imepangwa vizuri na kimkakati kwamba ni kiwanda gani kiwe mahali gani kwa akili ya masoko! Leo imebaki story kwani ilikoyeyukia sio wanaccm Wala wengine wanajua!
Sera Ile ingesimamiwa na kuazimwa mitaji Basi uhaba wa ajira ungepunguzwa!
Ona kwenye Sera ya kilimo vile ilivyopuuzwa japo inaajiri watu wengi. Imenyimwa usimamizi na mtaji na masoko ya uhakika na mwishoni inakwenda kufa!
Ajira sio lazima ukae ofisini jombaa!
Akipatika kiongozi mwenye maono na vipaumbele pamoja na uthubutu wa usimamizi wa Sera ya viwanda na kilimo na masoko nakuhakikishia nchi hii itang'aa kiuchumi na ajira zitakuwa zinaajiri kutoka nje ya mipaka ya nchi kwani wa ndani hawatatosha!
 
Sekta binafsi,hali si nzuri sana Mh.
Walau turuhusu kucompite kwenye tender za majenzi (contractors na consultants).
Fursa hizi zikitumiwa strategically impact yake ni kubwa kiuchumi.
Force account ni nzuri, lakini haina impact kwenye chain ya professionalism.
 
Tujitoe wakati wao wanakula mapesa na kujilipa mishahara minono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyakazi wapi hao, acha uongo.
 
Ivi Tanzania ni wangapi kwa IQ. Mana Kuna watu hawaelewi kitu kuhusu siasa na madhara yake kwa maisha ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…