Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

Sio kweli,ukiruhusu mzunguko mzuri wa pesa wengi watajikwamua watazalisha then utakusanya Kodi zaidi
 
Korosho ni sehemu ndogo sana tukizungumzia uchumi. Niambie inachangia kiasi gani katika pato la taifa?
 
Hivi mbona haya maisha magumu mnayoyasema wengine hatuyaoni.
 
Sio kweli,ukiruhusu mzunguko mzuri wa pesa wengi watajikwamua watazalisha then utakusanya Kodi zaidi

unaelewa maaana ya capitalism? ushawahi kuskia msemo unasema "survival for the fittest", kama huelewi capitalism we endelea kusubiri ni yeye
 
unaelewa maaana ya capitalism? ushawahi kuskia msemo unasema "survival for the fittest", kama huelewi capitalism we endelea kusubiri ni yeye
Capitalism ndio mfumo sahihi hata Mungu ndo anautambua Soma kuhusu kisa Cha talanta,zaka,asiyefanya kazi na asile kwa uchache.
Capitalism ndo uleta maendeleo na wote wananchi huwa na equal chance ya kusucces,ni matumizi tu ya akili
 
Mkuu hukulisoma lile shairi la Kama Mnataka Mali Mtayapata Shambani? Umemaliza SUA kwa nini hukwenda mwituni ukaanza kulima?
 
sijawai kufika chuo chochote ntapataje mtaji wa 2,000,000
Ok its simple kama kweli uko serious, jiunge kikundi then zipo taasisi nyingi zinasaidia watu wa aina yako. Cha msingi uthibitishe uko serious na una mpango serious wa kujikwamua hapo ulipo
 
Mimi mwenzenu naingoja kesho maana kelele za wengi ndizo huwa zinanichanganya ,mimi binafsi nampongeza kwa kile alicho weza kufanya katika kipindi cha miaka 5 but tupambane kwa kujishughulisha maana maisha yamekuwa ghari
 
Mkuu hukulisoma lile shairi la Kama Mnataka Mali Mtayapata Shambani? Umemaliza SUA kwa nini hukwenda mwituni ukaanza kulima?
Punguani huyo, alihitimu SUA halafu analalamika ajira hana huyo alikua msindikizaji huko SUA. Acha maisha ya mfundishe maisha
 
Ok its simple kama kweli uko serious, jiunge kikundi then zipo taasisi nyingi zinasaidia watu wa aina yako. Cha msingi uthibitishe uko serious na una mpango serious wa kujikwamua hapo ulipo
kwanini usizitaje iwe faida kwa wengine kama mimi maana nimesubilia M50 kila kijiji sijaziona
 
Ndugu ni wapi nimemsifia mwanasiasa hapo? Mwansiasa husifiwa na mwanasiasa mwenzake, mm sio sehemu yao. Mimi ni mpambanaji kuhakikisha naishi maisha mazuri na watoto wanasoma shule zinazoeleweka na zinazowaandaa kujitegemea badala ya kutegemea hisani za wanasiasa. By the way, unaijua historia ya Ethiopian airline au unaongea tu?
 
Naomba jibu kwenye swali langu. Kuingilia bei biashara ya sukari alikofanya magufuli na kupelekea bei kupanda kutoka 1800 kwa kilo hadi 2800/3000 huko sio kuharibu uchumi????

Usihamishe magoli kwa kujifanya umepaniki na matusi yako!!
 
kwanini usizitaje iwe faida kwa wengine kama mimi maana nimesubilia M50 kila kijiji sijaziona
Ngudu ukiamini maneno ya wanasiasa utazeeka kabla siku zako hazijafika. Subiria M100 za lisu zikukombowe kimaisha. Matarajio yako na wenzako lisu akibahatika kuingia ikulu kitu cha kwanza atakachofanya ni kuwakusanya wote ambao hawana ajira awape ajira, wote ambao hawana hela awape mitaji, wote ambao ni masikini awajaze fedha!
 
Naomba jibu kwenye swali langu. Kuingilia bei biashara ya sukari alikofanya magufuli na kupelekea bei kupanda kutoka 1800 kwa kilo hadi 2800/3000 huko sio kuharibu uchumi????

Usihamishe magoli kwa kujifanya umepaniki na matusi yako!!
Hahahaaa, mimi na wewe nani wa kupaniki? Waulize wenye viwanda kwa nini bei imepanda?
 
Capitalism ndio mfumo sahihi hata Mungu ndo anautambua Soma kuhusu kisa Cha talanta,zaka,asiyefanya kazi na asile kwa uchache.
Capitalism ndo uleta maendeleo na wote wananchi huwa na equal chance ya kusucces,ni matumizi tu ya akili

wewe ulikimbia shule. mbna capiatalism ni topic ya form 1 dogo!
 
Hahahaaa, mimi na wewe nani wa kupaniki? Waulize wenye viwanda kwa nini bei imepanda?
Naona umekimbia swali eeeh!! Safi ndo ujue ni kwa jinsi gani mtu wenu kaharibu uchumi wetu.

Na October 2020 tunamstaafisha rasmi arudi chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…