Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

Ambao wako taabani huko mitaani ni wale waliozeoa mishemishe na kuishi kisanii, sisi ambao tunajitambua na kuamini jasho lako ndio mkombozi namba moja tunaona maisha ni kawaida tu.

Changamoto haizwezi kukosekana katika maisha. Kama wewe ni mmoja wa wale walionufaika na ubabaishaji uliokiwepo awamu iliyopita, lazima awamu hii uone maisha magumu.

Changamsha akili, si Magufuli, Lisu, Membe n.k atakaebadilisha maisha yako.
Wewe ni mnufaika wa utawala huu zile pesa za wamiliki wa maduka ya kubadili pesa za kigeni nyingi umeziiba wewe kimishemishe
 
Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.

Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?

Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.

Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.

Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Sasa tunakubaliana tujinyime wote tufanye kile au hiki..sio kusema nchi hii tajiri wakati tunajua sio.
 
Umesahau wa vyeti fake kudhulumiwa mafao yao waliyokatwa kipindi chote ha ajira. Na pi hao vyeti fake wengine nawajua kabisa walionewa tu
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Hizi ndio bangi yaani umeambiwa ukweli wote huo bado unasupport kusiposapotiwa .
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Utakuwa umedanganywa..maisha bora yako Scandinavia...hakuna masikini labda uwe teja au mlevi mbwa
 
Ila na sisi watanzania tumezoeshwa Vibaya, kwamba ukisoma ni kuajiriwa. Unakuta mtu kasomea ualimu lakini hata, kufundisha tuition mtaani hataki miaka anakaa nyumbani anasubiri ajira.
 
Ukada wa aina hii ni zaidi ya upumbavu na ulofa uliousema Mkapa.

Hao kuku unamuuzia nani watu hawana pesa. Mimi ni Daktari nimejiari,imeshatokea mara tatu kuna jamaa wametoka kijijini huko na wagonjwa wao wakabeba kuku ili wauze wapate pesa kwa ajili ya matibabu. Wamezinguka na kuku wao tena wa kienyeji hawajapata mtu wa kumuuzia mwisho wa siku wakaja kuomba niwatibu wagonjwa wanipe kuku ukabidi niwasaidie tu.
Yaaani wanatufsnya sisi wote wajinga sisi si wajinga
 
Ndo kinachoshangaza watu na akili zao wanasema tujinyime wakati pesa zinachezewa kila mtu anaona zingine zinanunua wapinzani kuliko kuongeza mishahara
Mimi napitia kila comment sitaki kuwa upande.
Hili la kununua wapinzani haliathiri uchumi maana ni biashara kama zingine sasa labda tu kuwepa kodi ila pesa inaingia kwenye mzunguko hadi sisi tunakula bata mtaani akinunuliwa diwani wetu
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Mnaboa sana watu kama nyie na hapo ulipo unajua kabisa yaliyozungumzwa na mdau hapo juu ni kweli tupu tukiacha kusema kwa upande wa siasa ila wewe badala ya kushauri tufanyeje kama chama unataka kuleta ubishani na utetezi usiokua na tija ifike mahali tuwe tunakubaliana na ukweli tusisifie kupita kiasi
 
Ngudu ukiamini maneno ya wanasiasa utazeeka kabla siku zako hazijafika. Subiria M100 za lisu zikukombowe kimaisha. Matarajio yako na wenzako lisu akibahatika kuingia ikulu kitu cha kwanza atakachofanya ni kuwakusanya wote ambao hawana ajira awape ajira, wote ambao hawana hela awape mitaji, wote ambao ni masikini awajaze fedha!
sasa mbona uyo lisu unamsemea ayo maneno sijui M100 tena nanimekwambia nitajie ayo maeneo nifike unaniambia usiamini maneno ya wana siasa mkuu taja yale maeneo kwa faida yangu na wengine
 
Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.

Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?

Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.

Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.

Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Mkuu hapo kwenye dhiki ya muda unamanisha mpaka watu tutastaafu kwa mishahara hii kweli?
 
Wapo walio graduate mwaka huo huo wakaanzisha ufugaji wa kuku kwa msingi wa TZS 2,000,000 sasa hivi they are talking of 3 - 4mil a month. Msubiri Lisu, wengi wenu mnaamini nyumbani kwake amefunga bomba la ajira ambalo anasubiri achaguliwe ili alifunguwe ambao hamna ajira mpate ajira.
Wacha uongo wewe mbona mnakua wanafiki hivi jameni?
 
Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.

Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?

Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.

Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.

Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.

Vyema, mwambie raisi wako arudishe Ile 8% ya loan board, maana alivunja sharia.
 
usidhan kila mmoja anayo iyo pesa unayoizungumzia
Ndugu fursa huwezi kuipata kwa kushinda kwenye FB, JF nk. Go out there and interact with those who have been successful, seek their advice, trust me you can gain more that can help to change your life
 
Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.

Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?

Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.

Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.

Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Bora hata angekuwa anaeleza haya kwa kauli ya ustalabu tungemwelewa.bali yeye anasema pesa IPO...tunanunua ndege KESHI...TANZANIA NI TAJIRI.hivi hata kama ni wewe unamdai mtu halafu hakulipi huku anajigamba kuwa anazo pesa utamuelewaje? Huyu magufuli hatufai kabisa amejaa misifa tu kwa kuwa yeye hana shida kama sisi tunaoitwa wanyonge
 
Tunataka free of speech sio kuogopa kutekwa
There is no right without limitations, freedom of speech ok, lakini wewe kama wewe inakusaidia vipi kuinua maisha yako? Akina lisu na wengineo wanawatumia nyinyi walalahoi kwa vigezo vya demokrasia na uhuru wa kuongea nk kwa ajili ya kutimiza malengo yao ya kisiasa hatimaye kunufaika wao, jamaa zao na marafiki zao. Angalia kila kiongozi anaeingia madarakani wateule wao wanatoka miongoni mwa walalahoi au miongoni mwa maswahiba wao? Hangaikia maisha yako na familia yako. Hakuna haki katika dunia hii, haki iko kwa Muumba peke yake ambayo utaipata baada ya maisha ya dunia
 
Back
Top Bottom