Tulia pumbavu mkubwa wewe MATAGAAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
We kinyeo Ukabila umeingiaje hapa shetan mkubwa wewe MATAGAKila anakopita mpaka uchagani wanasema asante CCM, asante Dr Magufuli, hiyo ni dalili kubwa ya ushindi wa kishindo
Pascal mayalla,wewe siyo Mungu,anachopanga Mungu ndicho hutokea. Hata wewe hukujua,na hukupanga kuzaliwa. Umejishanga upo diniani.Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Jamaa yenu ana tabia za kikuda kuda wenzie hawamkubali, hata hili swala LA kina membe na wazee wastaafu walimpingaAcha uchonganishi
Huyo anamategemeo ya awamu ifuatayo, wakati huu imekuwa 'toolate'.Haya maisha bhana kila mmoja ana mitego yake sijuhi kwanini hawakukumbuki kwa juhudi zako!
nitaendelea kuuliza hili swali hadi nipate jawabu......Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Hakuna kumbukumbu ya CCM kuwa na mwanachama kichaaSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Hii nimeisoma mara ya kwanza, nikaona nipite tu kwa kujua inatoka kwa mtu aliyechanganyikiwa, ambaye michango yake humu ni 'chorus' isiyobadilika...Kila anayeulaumu utawala wa awamu ya 5 ni mwendawazimu na anastahili kufa kwa kunyongwa maana ni mwizi, mla rushwa, mvivu na msaliti.
acha bangi Dunia yenyewe haitodumu milele.Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Itatawala milele kwakua ccm imeumbwa na Mungu sio kama Roman Empire ,Austria Empire au Matternech system. Dola unaweza yenyewe ikajivua uccm na ikawa dola ya chama kingine maana ili linawezekana. Sijui nilikua bado mjinga? Unajua kuna wakati nilikua nakuona Paschal Mayalla kama mtu..kumbe my mind corrupted by brainMkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Acha uchonganishi
Kila anakopita mpaka uchagani wanasema asante CCM, asante Dr Magufuli, hiyo ni dalili kubwa ya ushindi wa kishindo
Mbona huko uhutuni ndio kiwanda chenyewe cha ukabila.VIP ujapeleka CV uteuliweAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Kazi yenu kuchunga Ng'ombe mmedandia fani za watu2020 rais wetu lazima awe ngosha Dr Magufuli, utake usitake maana kila mtanzania atampigia kura ya ndiyo!
Ujumbe umeshafika asante. Sikio la kufa hili. Wataanza na wao kutembea mabarabarani.Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Natamani hayo yatokee sasa ivSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Kama mnawekeza kwenye mifuko iliyotoboka yaani white elephant project hio kuna tofauti gani Na mianya ya upotevu awamu ya mkwereAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Usitafute sababu ya kupigia Pesa zingine msitafute mchawi mfe kivyenuSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani