Huyu lazima ni Mdee anahangaika na mkono wake mmoja ku typeAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Kila anayeulaumu utawala wa awamu ya 5 ni mwendawazimu na anastahili kufa kwa kunyongwa maana ni mwizi, mla rushwa, mvivu na msaliti.
Kwani hadi uone wewe?Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Cha wapi hiki kijiti muzee baba?Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Na wewe ndio mpumbavu wekeni tume guru muoni kilicho mponza kanga na mmekuwa waoga wa hilo na kwanini uwanja wa siasa mnataka nyie ndio mnafanya peke enu unajua kiliicho muondoa kihamiaHuo ndiyo ujinga mnaoambukizana, yaani hata wewe unaingia kundi la wasioelimika mbumbu mbutuyuyu, yaani huwezi tofautisha kwamba Libya hapakuwa na vyama vya upinzani? Dkt Mqgufuli yupo pale kwa sababu kura zilitosha na zitaendelea kutosha. Mnajifanya kumtukana yeye kumbe hamjui mnatukana taasisi, na ndiyo maana mnapukutika kwa umaarufu kwa sababu mnachezea mifumo inayowalinda
Una akili za hovyo sanaMkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Ila siku hazigandiAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
We jamaa kuna kitu muhimu ndani ya Uzi wako ,maana upo ujumbe mungu alinipa majuzi so andiko lako liko sawa mkuu japo wengi watakubezaSalam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Mimi sitapiga kura.2020 rais wetu lazima awe ngosha Dr Magufuli, utake usitake maana kila mtanzania atampigia kura ya ndiyo!
Labda chadema wana mbinu nyingine tofauti na kisanduku cha Kura.Lakini sisi wananchi hatuko tayari kuwapa nchi Leo mmeliombea Taifa ugonjwa wa corona.Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwaAcha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
l;abda atatangazwa kwa nguvu ya dola rejea ya Bashiru2020 rais wetu lazima awe ngosha Dr Magufuli, utake usitake maana kila mtanzania atampigia kura ya ndiyo!
Kila anakopita mpaka uchagani wanasema asante CCM, asante Dr Magufuli, hiyo ni dalili kubwa ya ushindi wa kishindo
huu ndiyo ukweliCCM ilishakufa tangu 2010.
Kwa sababu ni taifa la wajinga Basi itatawala mileleMkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.
Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.
Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Ushahidi ni tume huru tu, na yeye hataki hata kuisikiaUshahidi mkuu upo, rais wetu amapendwa kwa 100% na CCM IKO JUU