Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Huyu lazima ni Mdee anahangaika na mkono wake mmoja ku type

macson
 
Shida ni nini CCM ikiwa chama pinzani...mbona kwengine inatokea leo democrats, kesho republicans nk..
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Kwani hadi uone wewe?
Wewe ni nani hadi uone kwa niaba ya watanzania?
Tulia mzee,nadhani unajua 'mayala' ni njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuri anajua atashinda tu uchaguzi kwa sababu time ni take mapolice wake wakurungezi wake na ndio maana hana hata mpango wa kuongeza ajira nyongeza za mishahara hana mda Nazi anajua anapendwa na wananchi ila ila kwa taarifa tu vijana wana hasira sana na huu utawala has a wale jobless October sio mbali ndio ataona na aliona nao asifikili wapi nae wengi ni wanafiki kulinda kula yao na familia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ujinga mnaoambukizana, yaani hata wewe unaingia kundi la wasioelimika mbumbu mbutuyuyu, yaani huwezi tofautisha kwamba Libya hapakuwa na vyama vya upinzani? Dkt Mqgufuli yupo pale kwa sababu kura zilitosha na zitaendelea kutosha. Mnajifanya kumtukana yeye kumbe hamjui mnatukana taasisi, na ndiyo maana mnapukutika kwa umaarufu kwa sababu mnachezea mifumo inayowalinda
Na wewe ndio mpumbavu wekeni tume guru muoni kilicho mponza kanga na mmekuwa waoga wa hilo na kwanini uwanja wa siasa mnataka nyie ndio mnafanya peke enu unajua kiliicho muondoa kihamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Una akili za hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
Ila siku hazigandi
 
We jamaa
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
We jamaa kuna kitu muhimu ndani ya Uzi wako ,maana upo ujumbe mungu alinipa majuzi so andiko lako liko sawa mkuu japo wengi watakubeza
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Labda chadema wana mbinu nyingine tofauti na kisanduku cha Kura.Lakini sisi wananchi hatuko tayari kuwapa nchi Leo mmeliombea Taifa ugonjwa wa corona.
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote
ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa
yote amehamisha kwa wasukuma na wanyarwanda
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Kwa sababu ni taifa la wajinga Basi itatawala milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom