Sio kweli kwamba Trump hakuwa na wapinzani kwenye mchakato wa kupata mgombea kwa chama cha republican.Fuatilia vizuri utajua Trump mwaka huu alishindana na nani?kwa ufahamu wangu kwenye nominations za republican Trump alikuwa na wapinzani kama watatu hivi lakini hawakuwa na nguvu sana,Alikuwepo Wiliam Feld,Joel Walsh na Mark SanfordHivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Kuwa msukule ni adhabu. Hufuatili hata vyombo vya habari!!? Wewe ni kulishwa tu pumba ndio ujuavyo!?Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Hahahaha! Bashiru lazima ajificheMembe ataifata hiyo form hapo lumumba
Membe haujui huo utaratibu!? Kuwa mkweli tu Jiwe ni muoga wa ushindani!Ni utaratibu ambao wamejiwekea sidhani kama kuna habari mpya kuhusu hilo.
Akili za Maiti hiziHivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Sasa wewe mzee, kwani katiba ya chama chetu mama (ccm) inasemaje? tuanzie hapo kwanza kwa kiongozi ambaye tayari ni ameshashika awamu ya kwanza.CCM CHAMA CHA MAZEZETA kuna Nduliest Nduli...... Nani Kama yeye?
Polisi yeye
Hakimu yeye
Bwana jela yeye
Mnyongaji yeye
Mzikaji yeye
Pasta yeye....
Jidai unachukua fomu uone cha mtemakuni. Tayari ana jeshi la wachawi 1000 kutoka Gamboshi tayari kumuua yoyote atakayechukua fomu
Ndio kitu gani hicho chachawata?Huu sio ichaguzi wa chachawata
Unatolea mfano kwa mabeberu!Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Katiba ya ccm inasemaje kuhusu eneo hili?Ukiwauliza Lowassa aligombea na nani ngazi ya Chama 2015 wanakwambia ile ilikuwa special case
Jibu swali, mwaka huu mfalme wenu juha anagombea na Nani ndani ya chama chenu ?¿
Tafiti kabla ya kuanza kuropoka.Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Huyu ni mbulula tu, hafanyi research hata ndogo tu kuona kama anaongea upumbavuBill Weld, Joe Walsh na Roque de la Fuente walijitokeza kwenye Republican Primaries mwaka huu. Keith Russel Judd, mfungwa alipata 41% ya kura dhidi ya Obama katika Primaries za West Virginia za mwaka 2012. John Wolfe Jr na wengine nao walijitokeza kupambana na Obama mwaka huo huo. Blake Ashby alipambanana George W Bush. Mwaka 1984, Harold Stassen alishindana na Ronald Reagan. Ingawa wote hawa walikuwa na uwezekano mdogo wa kushinda lakini walijitokeza na kushindana.
Amandla.....
Toka lini CCM walikuwa na utaratibu?Ni utaratibu ambao wamejiwekea sidhani kama kuna habari mpya kuhusu hilo.
Tusiwaige mabeberu Mkuu, mabeberu si tuwaachie chadema, au unasemaje?Hivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?
Manyumbu hao, wapo mbugani wanatangatangaHivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?