Babarita
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 386
- 126
Sio kweli kwamba Trump hakuwa na wapinzani kwenye mchakato wa kupata mgombea kwa chama cha republican.Fuatilia vizuri utajua Trump mwaka huu alishindana na nani?kwa ufahamu wangu kwenye nominations za republican Trump alikuwa na wapinzani kama watatu hivi lakini hawakuwa na nguvu sana,Alikuwepo Wiliam Feld,Joel Walsh na Mark SanfordHivi Trump aligombea na nani mwaka huu 2020 kabla ya kupitishwa na Republic kugombea Urais Nov 2020?
Obama wakati anatetea urais wake 2012 alipambana na nani ndani ya Democratic?
Bush wakati anatetea urais wake 2004 alipambana na nani ndani ya Republican?